BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

Kama hii kitu Ni kubwa mno,yaani umeongea kitu kinaitwa trading. Wao wanacheki ku maximize profit na sio loss. Kuna mdada aliweka tangazo humu kutaka mwanaume wa kuoa. Yaani akaweka vigezo vyake Ila Sasa yeye anataka huyo mwanaume awe na vigezo vikubwa kuliko yeye.
Yaani anacheki ku gain na sio ku lose.yaani Hawa viumbe kwenye relationship game wanajua kucheza hii game nouma mno. Yaani they're very cleverest than how we think
Wanaume tunafeli sehemu moja we are not selfish in nature,kitu ambacho wanawake wanacho we care a lot mara kukopa Kodi plus matumizi but if we care more about ourselves like travelling,educating ourselves,kunywa bia mzee wanawake hawatatutesa
 
Pole Sana Mkuu daah a woman ....?
Maneno yanasema " tuishi nao kwa akili "

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Hewalaaaa.

Safi. Mwanaume hutakiwi kuishi kinyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wanajichetuaga tu ila kelele zetu wanazipenda sanaaa.

Wasubirie tu maroboti sasa, kama nawaona watakavyomiss makelele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutamiss kukamuliwa hela tuu. Pre order za maroboti zinatumwa wapi?? Tuanze kutuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
 
Tatizo lilianzia pale ulipoanzisha mahusiano na Vee. Vee alitakiwa abaki kuwa shemeji na siyo rafiki.
 
 
Unamlaum Vee bure.
Mahusiano ya kiafrika ni kichefu chefu, kuviziana ns usiri.

Ulipaswa kumueleza mazingira yako ya kazi yaklivyo.

Pili ulitakiwa usilale lodge moja na mwanamke asiye wako tena mahali unapotwgemea mpenzi wako atakuja.

Hii hata wewe ingekusumbua.

Piga picha uko ndani na mpenzi wako, ghafla dume linaingia chumbani na dume hilo lina ukaribu na mpenzi wako...reaction ingekuwaje?

Kuna sehemu tunawalaumu bure wanawake.
Wanaume tunataka wanawake wavumilie kila ujinga wetu kama vile wao ni mawe.

Katika mahusiano unatakiwa kuwa na akili kubwa kuliko
 
Inaonesha kuchukizwa kwake hukuchukulia serious sana, alikupa muda wa mwaka mzima lakini hukufanya jitihada yoyote kuwakutanisha na huyo slay queen wako halafu unamlaumu yeye? Ilipaswa ufanye vyovyote iwezekanavyo umalize huo utata kabla demu wako hajachukuwa maamuzi magumu, kama alikuwa hataki tena mahusiano asingerudi tena kwako, hapo wewe ndio mwenye tatizo bro angu, ishu ilikuwa ndogo lakini ukaifanya kubwa matokeo yake unajuta na hujui mpaka leo ulikosea wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…