BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

Si mnajifanyaga vidume nyie, mara mwanamke mmoja hatoshi🤣🤣🤣 Ila kumbuka mwanamke mmoja anatosha kukuua Kwa stress.
Na ukiona mwanamke Yuko kimya kwako, ujue kuna mwenzako anayeongea nae na anamsikiliza.....hatujaumbwa kuwa kimya...mwanamke ni makelele🤣
Na wanajichetuaga tu ila kelele zetu wanazipenda sanaaa.

Wasubirie tu maroboti sasa, kama nawaona watakavyomiss makelele🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu ndo hivo, yaani kwa sasa ninavyowapanga hawa viumbe, na baadhi wanajuana ila hawana budi
Sasa umechanganyikiwa my young brother Cha msingi usipoteze kesho yako yenye watoto Bora toka family Bora kwa kujiumiza unaposema unawapanga Hawa viumbe ni kweli but vp watu wote Duniani wangefanya hivyo wazazi wako je?? Ukisimuliwa visa vya wengine na Leo wametulia na ndoa au mahusiano utaacha your ill mentality.Stop
 
Huyu Vee ndo nadhan anaishi kwa raha sana sababu mme wake namjua na ni mwanamke smart sana.

Lkn Dee, yule wa kwanza hivi ninavyoongea ni counter wa bar fulan hapo sinza, ni single maza, bado ni mkali kiasi ila analika tu, nadhan ni curse ya kuumiza moyo wangu
Duu UDSM mpaka Counter za Bar au unatuongopea kwa jili una wivu Naye.Mtafute myajengee mbona Kama wote yamewakuta
 
Na je vp yule Demu mkali wa NGo ulimwacha tu je aliolewa?
 
Sio wake, ni wachumba/wazazi wenzangu. Hapo kuna barmaids kila nikipiga gambe
We jifanye wazazi miezi 6 ndani majirani wakiona ni ndoa ya serikali wanatambua na mtoto mrithi wako We jidanganye huyo Dada ndo umemuona tiyaleee
 
Hujawahi kupata upendo wa mwanamke wewe, ukiupata ule wenyewe hutotaka upotee hivihivi, wenzako wanahonga hadi nyumba sababu mwanamke ni dhaifu ila udhaifu wa mwanaume ni mwanamke, na hapo ndipo Mungu aliweka fumbo.

Sikutaka kupoteza kirahisi upendo alonipatia yule binti, na kama asingeolewa ningekuwa tyr kumsubiri zaidi.

Upendo wenyewe wenyewe wa mwanamke ni Pepo tosha hapa dunianii, kama hujaonja hio kitu huwezi kunielewa.
Alikuwa hakupendi. Miaka mitatu mnafanya ufuska tu mlishindwa nini kuoana, kama upendo wa dhati upo mngefunga ndoa no matter what,
 
Hata lisingetokea hilo huenda angeolewa tu na ukabaki unashangaa ni nini kimetokea. Kosa moja tunalofanya wanaume ni kudhani ni sisi tu ndo wenye uwezo wa kuwapanga wanawake wawili au watatu kisha ukaoa mmoja wengine wakapata mshangao. Wanawake wanafanya hayo pia. Wanawakubali wanaume wawili au watatu halafu wanadadisi yupi ni mume. Na wote anawapa ngono.
 
Alikuwa hakupendi. Miaka mitatu mnafanya ufuska tu mlishindwa nini kuoana, kama upendo wa dhati upo mngefunga ndoa no matter what,
Watu wanakaa uchumba hadi six years af wanaoana na wanafanya annivesaries za 5, 10 etc...

Courtship ni muhimu sana ili ndoa ikae muda mrefu, na mkidumu kwenye courtship basi kweli mnapendana ile ile, mnakua tyr kuanza maisha ya ndoa sasa.

Recheck the facts
 
We jifanye wazazi miezi 6 ndani majirani wakiona ni ndoa ya serikali wanatambua na mtoto mrithi wako We jidanganye huyo Dada ndo umemuona tiyaleee
Akili zako tu, nikisema ni housegirl je? Mbona kesi ndogo sana hio
 
Na je vp yule Demu mkali wa NGo ulimwacha tu je aliolewa?
Yule nilimlaga baadae game moja la hasira sana, kaniganda balaa na mtoto alikua kama mnyarwanda hivi, nae aliniganda ila tu nikawa nishakata tamaa na mahusiano kipindi hiko
 
Duu UDSM mpaka Counter za Bar au unatuongopea kwa jili una wivu Naye.Mtafute myajengee mbona Kama wote yamewakuta
No, yule demu hakumaliza chuo, aliendekeza umalaya, na enzi zile chuo sio kama siku hizi. Nasikiaga aligonganisha lecturers wawili mmoja akamfanyia figisu akadisco.
 
Sasa umechanganyikiwa my young brother Cha msingi usipoteze kesho yako yenye watoto Bora toka family Bora kwa kujiumiza unaposema unawapanga Hawa viumbe ni kweli but vp watu wote Duniani wangefanya hivyo wazazi wako je?? Ukisimuliwa visa vya wengine na Leo wametulia na ndoa au mahusiano utaacha your ill mentality.Stop
Nishajenga hio kesho, niko naiishi kwa sasa, siwezi kuipoteza.
 
Na wanajichetuaga tu ila kelele zetu wanazipenda sanaaa.

Wasubirie tu maroboti sasa, kama nawaona watakavyomiss makelele🤣🤣🤣🤣🤣
Niwe mkweli kuna wanawake wakiwa wanaomba kitu huwa wanakuwa sexy hadi raha, wengine anataka kukuomba hela eti utalisikia "baby nina njaa" yaan jitu hata halijui kuomba kwa deko, hio deko hamjui ni kama music kwetu
 
If you don't have money put your mouth calm

If you don't , regrets Will be upon you!!
 
Tatizo sio ukimya ila ni wewe kumwamini mwanamke na kua na huyo tu..

Dee ulikua nae yeye tu!! Vee ulikua nae yeye tu sasa hapo mkuu kwanini usiumizwe?

Uko na mtoto mkali kwa gari hupigi wala nini eti uko na Vee.
Madem zako walikuzidi ujanja, wao walikua na plan B.
Huu ndo ukweli mzee. Demu wako kama ni mkare jua anatongozwaga 24/7 na miongoni mwa wanaomtongoza ni wanaume wenzio waliokuzidi kila kitu kiasi kwamba hata akikutosa anakuwa hana cha kupoteza.

Ila kimsingi baharia siwezi kufanya kazi na pisi kali 24/7 halafu nisiitafune. Yani tunapanga Lodge moja tunalala na kuamka kila mtu kivyake 🤣???

Labda anikatae tu ila najua kuna siku atagombana na Kevi na atanipa tu utamu kumkomesha😀.
 
Back
Top Bottom