BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

Mapenzi ni hisia na ndo maana yanatesa sana unaweza kujifanya mgumu unafosi kusahau mwisho wa siku unakuja kujinyonga aisee.

vijana tupo kweny hatar kubwa sana mapenzi ni hatari hayana mjuzi .

Mwanangu mmoja alitaka kujiua yaani haelewi demu alipoteza vip upendo kwake maana mchizi alianguka kibiashara ,ghafla analetewa kadi demu anataka kuolewa jamaa alimaindi ,alikonda kabisa.

Ila maisha yanaenda ndo hivyo dunia haina raha hata chembe.
 
Ndo maana nikasema hii kitu inaweza kukutengenezea Trauma, kuhusu hio sector ya ndoa nmekata tamaa kiukweli, just imagine huo ukimya anakufanyia mwanamke ambae mmeweka nae commitment ya maisha yaan ndoa, huoni tabu hapo? Huwezi ku-undo
Kweli inaumiza..
Sahihi pia, ndoa sio lazima...
Ila badilisha mtazamo kuhusu Mapenzi..

Kumbuka Mapenzi sio kiini cha kila kitu kwenye maisha. Maisha ni zaidi ya Mapenzi.
 
Kweli inaumiza..
Sahihi pia, ndoa sio lazima...
Ila badilisha mtazamo kuhusu Mapenzi..

Kumbuka Mapenzi sio kiini cha kila kitu kwenye maisha. Maisha ni zaidi ya Mapenzi.
of course, now I just rock and roll, maisha sijayakatia tamaa bali ndoa na mahusiano marefu ndo nmeyakatia tamaa
 
Si mnajifanyaga vidume nyie, mara mwanamke mmoja hatoshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila kumbuka mwanamke mmoja anatosha kukuua Kwa stress.
Na ukiona mwanamke Yuko kimya kwako, ujue kuna mwenzako anayeongea nae na anamsikiliza.....hatujaumbwa kuwa kimya...mwanamke ni makelele[emoji1787]
Inategemea na roho ya mtu,kuna wengine ukibeep tunapokea...mimi ilinitokea nkaongea nae akawa bdo analeta mapozi,huwa namuomba mungu asinipe stress za mapenzi kwenye maisha yangu..kilichofuata mpka leo yeye ndio ananitafuta mimi huo mda sina
 
Vipi kama ukitaka mzigo saivi, anabana au hujawahi kujaribu?
 
Mkuu sipingani na wewe lkn ni rahisi sana kujudge situation ambayo hujapitia.
Najaribu kuvaa kiatu chako,unalipia Kodi wanawake wawili plus matumizi bado unachapiwa huko yaani kuna mwanaume hapo Katikati unamlisha kwa jasho lako unajibana kulipia Kodi Una mawazo ya kutoa matumizi unashindwa Ku take care of yourself first
 
Ndo maana waloimba "wanaume tumeumbwa mateso" hawakukosea, lkn hapo mmoja anakaa kwangu, nna cctv labda agongewe kwengine ila sio kwangu. Huyo nnaelipia kodi napo sio kila mwezi, na hio ni sabb anakaa na mtoto wangu. Matumizi ya kawaida tu kwa mwanaume yyt mpambanaji
 
Okay, at the end let's agree bado Kati ya hao wawili umewekeza hisia zako same as married men like me, you are worried like us we all bear the same burden hahah
 
Mapenzi ya mwanzo kabla hujapigwa matukio moyo ukafa ganzi yanakuaga real sana....
Ila angalia usiumize ambayo hawakuwa sababu ya wewe kuumia
 
Ewaaaaa...ukiona mwanamke Hana kelele ogopa sana
Sure....Mimi nikiwaga kimya mume wangu anaanza kusikiliza gospel na kuleta mizawadi mara Kwa mara,,,maana Huwa naongeaga non-stop.....so anajuaha Hadi ninayoyawaza na ambayo ninataka kuyafanya....
So nikiwa kimya tu anajua Kuna sehem kaharibu...ila
Ni kuomba Mungu tu ukiishi na binadamu mwenzio ambayo hamjashea dam..
Ninamchekea na ninamuongelesha ila I remember every damn thing .....
Sema tu I can't bear kumuona ana uzuni,Bora Mimi niuzunike
 
Back
Top Bottom