Based on true story: Mahaba yalivyonipeleka kwenye Jamii za Siri Ulimwenguni

Based on true story: Mahaba yalivyonipeleka kwenye Jamii za Siri Ulimwenguni

wacha nipate chai
 

Attachments

  • E3dxnTCWQAA6EMf.jpg
    E3dxnTCWQAA6EMf.jpg
    19.9 KB · Views: 32
Kila story ya kuburudisha inayokuja hapa JamiiForums lazima uibuke na kuikosoa kwa nguvu zote ili mleta story akate tamaa. Kigoma mmebobea kwenye majungu, uchawi na Umasikini. Analyse na UMUGHAKA walikupuuza Hadi wakamaliza simulizi zao ukabaki na aibu.
Analyse ni mtu wangu sana. Anajielewa na huwa hana stories za kipuuzi. Na huwa hadai kuwa ni za kweli. Mimi napingana na mabwege kama ninyi mbao mnadhani wote humu tuna akili kama zenu. Analyse huwa hata hakasiriki akikosolewa. Anajielewa. Umemtaja mwingine maugaka sijui... Nadhani atakuwa mtu wako wa karibu. Huyu aliomba nipigwe ban kwenye uzi wake wa uongo. Ndo akaendelea.
 
Huyo mama kafaririki 2007. Wewe mwaka 2023 unasema ni miaka 7 imepita. Huo huoni kama ni uongo?
Nimeamua kumpa jina huyo mama Charlotte Nelson William. Jina lake halisi nimelihifadhi, si heshima Wala nidhamu kuweka jina lake hadharani.
 
Tena kwa Africa whatsapp ilianza 2012/13
Tatizo wewe ni mshamba na maarifa yako ni uchizi Kama ilivyo ID yako.

WhatsApp ilianza muda kabla 2012/2013. Pengine wewe ulichelewa kuipakua WhatsApp kwenye kifaa chako Cha mawasiiliano.
 
Back
Top Bottom