"Based on true story" movies

"Based on true story" movies

Pole sana hata mimi sipendi muvi za kuhuzunisha. Hebu angalia muvi ina 1787 Paris (mwaka huo nitakua nimeukosea) ila ukiangakia utaipenda na nitukio la kweli la marafiki watatu. Hao hao marafiki ndio wameicheza muvi, Muandaaji ni Clint Eastwood imetoka 2018. Nzuri sana utajikuta unatamani kua mtu mwema
saint.dominic, hiyo 1787 paris ndiyo jina la movie ?
 
Papilon siipingi
Sometimes in april... Aisee hii movie kwangu ndio the best movie, hasa kwny hizi movies za civil war
Hivi kwenye papon yule jamaa mvaa miwani(Rami Malek) aliyeachwa kisiwani ilikuwaje?
Alitoka kule?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna muvi zinajua kukamata hisia za watu aisee, angalia muvi inaitwa Traffic Light ni indian movie. India watu wanamaisha magumu sana.
Usisahau na SALAAM BOMBAY
 
Back
Top Bottom