Wanaopenda " escape stories" za ukweli cheki episodes za Steven Jay Russel, The man who no jail could hold.
Inafanana kiasi na Catch me if you can ila huyu jamaa IQ kubwa.
Kidokezo tu:
Kule jela aliwasoma ma Dr. wanaovyoingia na kutoka na kutembea na kusalimiana na watu akagundua ma dr. Wanaheshimika na kuaminika sana.
Akaanza kuiba marker pen za kijani baada ya kujiunga na darasa la uchoraji mle lupango, alipopata za kutosha akawa analoweka nguo zake ziwe za kijani kama za ma dr.
Siku aliyopanga mwenyewe kavaa magwanda ya ma Daktari na kalamu mfuko wa shati wa mbele katembea milango wanamfungulia wenyewe mapolisi bila kumtazama mara mbili katokea mlango wa mbele pale pale huyooo uraiani.
Hizo episode mbili tatu ni kali zaidi kacheki nwenyewe youtube
Yeye alikuwa hachimbi handaki au kubomoa kichwa tu.
*************
Ila shawn_ redemption nayo kali pia