"Based on true story" movies

"When they see us" mtuangu. Kuna machali weuc wa5 wakiitwa central park 5. Walisingiziwa kubaka na kuua mmama wa kizungu... story ya kweli na inaweza kukutoa mashoz mtuangu
 
"When they see us" mtuangu. Kuna machali weuc wa5 wakiitwa central park 5. Walisingiziwa kubaka na kuua mmama wa kizungu... story ya kweli na inaweza kukutoa mashoz mtuangu
mtuangu lazima tuicheki iyo tulie kidogo
 
Wanaopenda " escape stories" za ukweli cheki episodes za Steven Jay Russel, The man who no jail could hold.

Inafanana kiasi na Catch me if you can ila huyu jamaa IQ kubwa.

Kidokezo tu:

Kule jela aliwasoma ma Dr. wanaovyoingia na kutoka na kutembea na kusalimiana na watu akagundua ma dr. Wanaheshimika na kuaminika sana.

Akaanza kuiba marker pen za kijani baada ya kujiunga na darasa la uchoraji mle lupango, alipopata za kutosha akawa analoweka nguo zake ziwe za kijani kama za ma dr.

Siku aliyopanga mwenyewe kavaa magwanda ya ma Daktari na kalamu mfuko wa shati wa mbele katembea milango wanamfungulia wenyewe mapolisi bila kumtazama mara mbili katokea mlango wa mbele pale pale huyooo uraiani.

Hizo episode mbili tatu ni kali zaidi kacheki nwenyewe youtube

Yeye alikuwa hachimbi handaki au kubomoa kichwa tu.

*************

Ila shawn_ redemption nayo kali pia
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuna muvi zinajua kukamata hisia za watu aisee, angalia muvi inaitwa Traffic Light ni indian movie. India watu wanamaisha magumu sana.
kwa muvi zenye hisia kweli wahindi wako vizuri sana!achana na yale ma series yao ya kichawi na kipuuzi.
but tafuta single muvi uone story zao zinavyokuwa tam kama muvi ya TERI KASAM.
 
Duuuu huu uzi hauishi utam

Mimi zangu ni
Lone sovivor
American oddesy
T-34
Ford vs Ferrari
Imitation game.
The man who now's infinity
I still believe.

Ni nying asee.....
 
kwa muvi zenye hisia kweli wahindi wako vizuri sana!achana na yale ma series yao ya kichawi na kipuuzi.
but tafuta single muvi uone story zao zinavyokuwa tam kama muvi ya TERI KASAM.
Abhishekh Bachan anaufanyaga kazi poa sana. Pia Amir Khan na Sharookh Khan. Angalia Mannmarizyan mtuangu utanambia ni ataari
 
Ila US Army walifikiria nini kuweka Outpost eneo kama lile badala ya kukaa Mlimani?
 
Mbona siipati hiyo ya dokta..au umekosea jina

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Captain Phillips...
Not Without my daughter ...
Stoning of Soraya..
Saviour...
 
The 33

In the heart of the sea

The founder

Only the brave

Riphagen

The Balkan line
 
12 years a slave
what a great and true story
ndo movie iliomtoa Lupita Nyong'o
 
Kuna mwana aliwaambia mapema sana ila wakamdharau, lakini kijiografia ile camp ilikuwa imekaa kinaa sana pale kama una motar na roketi za kutosha kweli atoki mtu.
 
Mbona siipati hiyo ya dokta..au umekosea jina

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Tafuta Steven Jay Russell ndio mkali mwenyewe.

Au tafuta full movie yake
Inaitwa

I love you Phillip Morris Full movie

Picha yake yake inayoonekana jamaa wawili wamevaa fulana na njano

Chukua ile ya 1;37:37

Nenda kaicheki huyu jamaa balaa kwa ku escape kwa akili.

Huyo phillip Morris alikuwa Basha wake huyu Steve ni shoga. Ila akili nyingi mu kichwa.


Sehemu fulani huko mbele ukicheki movie alibadili jina baada ya ku escape tena akijidai mpelelezi sijui jaji akaitisha fail lake la kesi halafu akaifutilia mbali kesi yake mwenyewe. Vituko balaa


True story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…