mkuu hii movie ya traffic light mbona nimeisaka sana sijaipata... jina ndio ilo kweliπππππππππ
Kuna muvi zinajua kukamata hisia za watu aisee, angalia muvi inaitwa Traffic Light ni indian movie. India watu wanamaisha magumu sana.
hii namba nne naikubali mno!!jamaa anatoroka jela..kwa muda mreefu..anatoa udongo kidogo kidogoWadau,
True story movies zinakuwa nzuri na zenye mafundisho ya maisha tunayoishi kila siku,
Weka list yako ya movie yoyote unaijua ambayo ni tukio la kweli lililotekea past au ni story ya mtu ya ukweli kabisa.
List yangu fupi kuna;
1. Beautiful mind
2. Persuit of happiness
3. Titanic
4. Shawnshak redemption na Pablo Escobar naona nae wamtolea series zake kabisa!
Wadau ebu endeleeni na hii list ya hizi movies za ukweli ukweli.
All quite on the western frontWadau,

Based on true events yaani exactly tukio lilitokea na wao wameact kama lilivyokua baada ya kupata kibali, mfano Hotel Rwandainspired by true events inatofautiana vipi na based on true story. tuelimishane