The Thugs001
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 434
- 933
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimejaribu kutafuta mstari wenye maneno ya dharau juu ya bunge kwenye bandiko lako sijaupata.Rais Samia hajawahi kufanya kosa hilo hata siku moja kudharau Bunge? hiyo kazi wanaiweza Mwigulu, Makamba na Bashe tu
Kwani huyo Bashe sio mbunge?Waziri Bashe jioni hii akichangia bungeni ameutupia lawama Mhimili wa Bunge kuwa ndio umesababisha kuharibu kilimo na kusisitiza kuwa kamwe Serikali ya Rais Samia haiwezi kufanya kosa hilo.
Pamoja na lawama hizo nzito kwa watunga sheria..Kiti hakijaweza kutoa mwongozo wowote kuhusiana na jambo hili la Waziri kulidharau Bunge, wakati Rais mwenyewe wa nchi Dk. Samia Suluhu Hassan hajawahi kulidharau Bunge wala wabunge kwa kuwa anatambua ni moja ya mihimili ya nchi iliyoko kwa mujibu wa Katiba.
Swali la muhimu. Bashe anapata wapi kiburi cha kulidharau bunge kwa kiwango hicho ilihali Rais Samia mwenyewe anayemwakilisha kwenye wizara ya kilimo hajawahi kutoa kashfa kwa Bunge, ametumia bunge kuwatetea wafanyabishara na kusisitiza kuwa kamwe serikali haiwezi kuwapangia bei ya kuuza mazao yao.
Je Wabunge nao wakiamua kueleza ukweli juu ya makampuni yanayohusika na kuuza mazao ndani na nje ya nchi na mahusiano yao na Bashe yuko tayari kuwajibika?
Duuuh! Mpina nini?
Yawezekana wewe mwenyewe hata huelewi unataka kusema nini. Unasema Bashe amelilaumu Bunge halafu baadaye unasema amelidharau Bunge!Waziri Bashe jioni hii akichangia bungeni ameutupia lawama Mhimili wa Bunge kuwa ndio umesababisha kuharibu kilimo na kusisitiza kuwa kamwe Serikali ya Rais Samia haiwezi kufanya kosa hilo.
Pamoja na lawama hizo nzito kwa watunga sheria..Kiti hakijaweza kutoa mwongozo wowote kuhusiana na jambo hili la Waziri kulidharau Bunge, wakati Rais mwenyewe wa nchi Dk. Samia Suluhu Hassan hajawahi kulidharau Bunge wala wabunge kwa kuwa anatambua ni moja ya mihimili ya nchi iliyoko kwa mujibu wa Katiba.
Swali la muhimu. Bashe anapata wapi kiburi cha kulidharau bunge kwa kiwango hicho ilihali Rais Samia mwenyewe anayemwakilisha kwenye wizara ya kilimo hajawahi kutoa kashfa kwa Bunge, ametumia bunge kuwatetea wafanyabishara na kusisitiza kuwa kamwe serikali haiwezi kuwapangia bei ya kuuza mazao yao.
Je Wabunge nao wakiamua kueleza ukweli juu ya makampuni yanayohusika na kuuza mazao ndani na nje ya nchi na mahusiano yao na Bashe yuko tayari kuwajibika?
Ndio mana bashe kasisitoza vyama vya ushirika vifufuliwe sana.Ili ndio vinunue mazao na kuuza masikio I.Kakiri middlemen ni tatizo na litatatuliwa kwa hivyo vyama.Middlemen wanapiga sana Hela kwa kununua mazao na kuya ficha Ili demand iwe kubwa kuliko supply,then wauze.Bashe anitajie mkulima mmoja tu wa mpunga ambaye ameuza mchele wake sh 3500 kwa kilo.
Fichueni hio Siri kama mnayo Bashe kawachana ukweli na ukweli ndio huo kila mtu abebe jukumu lake. Bashe hajasoma vyuo vya matopeni. Kila mtu ajipiganieWaziri Bashe jioni hii akichangia bungeni ameutupia lawama Mhimili wa Bunge kuwa ndio umesababisha kuharibu kilimo na kusisitiza kuwa kamwe Serikali ya Rais Samia haiwezi kufanya kosa hilo.
Pamoja na lawama hizo nzito kwa watunga sheria..Kiti hakijaweza kutoa mwongozo wowote kuhusiana na jambo hili la Waziri kulidharau Bunge, wakati Rais mwenyewe wa nchi Dk. Samia Suluhu Hassan hajawahi kulidharau Bunge wala wabunge kwa kuwa anatambua ni moja ya mihimili ya nchi iliyoko kwa mujibu wa Katiba.
Swali la muhimu. Bashe anapata wapi kiburi cha kulidharau bunge kwa kiwango hicho ilihali Rais Samia mwenyewe anayemwakilisha kwenye wizara ya kilimo hajawahi kutoa kashfa kwa Bunge, ametumia bunge kuwatetea wafanyabishara na kusisitiza kuwa kamwe serikali haiwezi kuwapangia bei ya kuuza mazao yao.
Je Wabunge nao wakiamua kueleza ukweli juu ya makampuni yanayohusika na kuuza mazao ndani na nje ya nchi na mahusiano yao na Bashe yuko tayari kuwajibika?
Waanze kusema ukweli kwamba Bashe, Kigwangala na Simon Sirro Wana makampuni ya kuuza mazao nje na ndani na ndo wanaolangua mazao ya wananchi Kwa bei chee wakati wa mavuno na Sasa wanawauzia Wananchi hao hao Kwa bei ya kulangua halafu Bashe anatetea bei kubwa ya mazao akisingizia inafaidisha Wakulima?Waziri Bashe jioni hii akichangia bungeni ameutupia lawama Mhimili wa Bunge kuwa ndio umesababisha kuharibu kilimo na kusisitiza kuwa kamwe Serikali ya Rais Samia haiwezi kufanya kosa hilo.
Pamoja na lawama hizo nzito kwa watunga sheria..Kiti hakijaweza kutoa mwongozo wowote kuhusiana na jambo hili la Waziri kulidharau Bunge, wakati Rais mwenyewe wa nchi Dk. Samia Suluhu Hassan hajawahi kulidharau Bunge wala wabunge kwa kuwa anatambua ni moja ya mihimili ya nchi iliyoko kwa mujibu wa Katiba.
Swali la muhimu. Bashe anapata wapi kiburi cha kulidharau bunge kwa kiwango hicho ilihali Rais Samia mwenyewe anayemwakilisha kwenye wizara ya kilimo hajawahi kutoa kashfa kwa Bunge, ametumia bunge kuwatetea wafanyabishara na kusisitiza kuwa kamwe serikali haiwezi kuwapangia bei ya kuuza mazao yao.
Je Wabunge nao wakiamua kueleza ukweli juu ya makampuni yanayohusika na kuuza mazao ndani na nje ya nchi na mahusiano yao na Bashe yuko tayari kuwajibika?
Wewe ni mkweli nakupongeza Kwa ujasiri. Wachuuzi wa kisomali waliopewa mitaji na kina Bashe ndo wanaotesa Wananchi Kwa Sasa. Haiwezekani Mtu ununue kitu Kwa 1200 baada ya miezi minne uuze kitu hicho hicho Kwa 3800 halafu Waziri anashadadia wizi.Mimi unayebishana nae ni mkulima wa mpunga,haiwezekani Bei ya mwisho iwe 3500 halafu mkulima akuuzie buku jero,wakulima hatuishi shomoni tuna taarifa zote za soko,huwa tukiwaachia Sana wachuuzi faida basi ni miambili kwa kilo
Da!! Unaleta ubaguzi wa orientation.Bado una safari ndefuNchi ina vioja sana hii, katika raia 60 milioni plus plus kwanini wizara nyeti hivo apewe msomali? Nani kamuweka hapo? Malengo yao nini? Kwanini nafasi hii tusimpe mtanzania mwenzetu
Hakuna wasomali wa kutosha kuwa wachuuzi kiasi Cha kuathiri kiwanda Cha chakula kiasi hichoWewe ni mkweli nakupongeza Kwa ujasiri. Wachuuzi wa kisomali waliopewa mitaji na kina Bashe ndo wanaotesa Wananchi Kwa Sasa. Haiwezekani Mtu ununue kitu Kwa 1200 baada ya miezi minne uuze kitu hicho hicho Kwa 3800 halafu Waziri anashadadia wizi.
Kamwambie huyo msomali tunamuhesabia mudaDa!! Unaleta ubaguzi wa orientation.Bado una safari ndefu
Wakulima wauze mahindi nje ya nchi au wafanyabisahara wakubwa wauze nje ya nchii....hahahaha nawaonea huruma wakulima...wafnya bishara ndo wanufaika wakubwaaBashe kazia hapo hapo wakulima waendelee kuuza mahindi nje ya nchi
Mwambie huyooo...anajizima data tuu... mkulima mwenyewe aliyeuza mchele 1300 saivi anaununua 3500..ananyooshwa tuuAcha ufala mwaka jana miezi kama hii kipindi cha mavuno mkulima aliuza mchele 1300 kwa kg leo hii tunaongelea bei zaidi ya mara mbili, sasa ebu niambie anayeuza bei ya 3500 ni mkulima au mfanya biashara
Hilo ni kweli lakini huwezi kufikia hitimisho kuwa ukimuachia sana mchuuzi ni 200!! mala ngapi unakuta mtu ananunua kwa mkulima kilo tsh 1280 anaenda kuuza sokoni kwa tsh.1900-2000?tena kama kwa mchele ni zali tu la mwaka jana,ngoja kuanzia mwezi wa tano utaniambia kama hamtaanza kupiga kelele juu ya bei.Mimi unayebishana nae ni mkulima wa mpunga,haiwezekani Bei ya mwisho iwe 3500 halafu mkulima akuuzie buku jero,wakulima hatuishi shomoni tuna taarifa zote za soko,huwa tukiwaachia Sana wachuuzi faida basi ni miambili kwa kilo
Ki nini? Na upande upi?Tumeingiliwa.