Bashe alitupia lawama Bunge kuharibu Kilimo

Kwa kawaida gunia la mpunga la debe SITA huwa 40k kipindi Cha mavuno,na huwa tunauza ule mpunga uliolowa,ukikoboa unatoka Kama pilau,mwaka wa kawaida oktoba gunia huwa 80k,mwaka huu huenda chakula kikawa kingi
wapi huko mkuu,mimi kwenye mapoli yote ya mpanda huwa bei ni 30,000 kwa gunia lenye ujazo huo kipindi cha mavuno na mpunga unachagua mwenyewe.
 
wapi huko mkuu,mimi kwenye mapoli yote ya mpanda huwa bei ni 30,000 kwa gunia lenye ujazo huo kipindi cha mavuno na mpunga unachagua mwenyewe.
Ushirika WA mwamapuli,skimu ya mwanzugi,igunga tabora
 
Hizi bla bla za kisiasa ndio zinazouwa kilimo, kilimo hakitakiwi kuwa na siasa maana ndio chanzo kimojawapo cha uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…