Kurmodosla
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 330
- 202
Huo ni ufinyu wa fikra kupanda kwa bei ya vitu ni kwa dunia nzima na siyo kwa Michele tuu bidhaa nyingi zimepanda kuanzia mafuta ya petrol mafuta ya kula na bidhaa nyingine nyingi, kupanda huko kwa bidhaa duniani hautokani na waziri Bashe wala haiwezi kuwa kipimo cha kumpima kama ni waziri bora au dhaifu kwenye wizard hii,NiINACHOAMINI NA KUKUBALI KWA NAFSI YANGU MHE.BASHE NII WAZIRI ALIYELETA UKOMBOZI WA BEI KWA WAKULIMA KWA KUWEKA UHURU WA BEI KUAMULIWA NA SOKO