Bashe amewakuta Watanzania wananunua kilo ya mchele 1,800 sasa wananunua 3,500

Kwani atauza chote Ili akose chakula? Hiyo haipo..
Hatuwezi agiza chakula Kenya ndio maana serikali Huwa inanunua chakula Cha Hifadhi Kwa Ajili ya Hilo unalosema wewe
Kama mchele upo wa kutoshaaa why sasa usitolewee tununue kwa bei chee...?? Au ndo serikali inafanya biashara ya kuumiza raiaa
 
Utolewe kwani umeisha Sokoni? Pili mchele unatambulika kama zao la biashara na chakula, serikali inatoa mahindi ukitaka wali mtanunua hata elfu 7
 
Mim nachouliza
Mkulima na mfanyakazi wanalipa gharama tofauti kwenye huduma za kijamii? Mfano maji, umeme, shule...
Sasa kwa nin mkulima apangiwe bei ya kuuza alicholima?

Kilo ya mchele iuzwe hata 10,000 njooni mlime na nyie mjue changamoto za kilimo.
Bei ya mazao ikiwa chini ni janga kwa wakulima.
Bashe ni waziri Bora zaidi kutokea kwenye wizara ya kilimo, hakuna kufunga mipaka acheni ubinafsi, njoon tulime
 
Inakuwaje wananunua na V8 ya milioni 500 wakati hali ya uchumi ni mbaya.
Ebu muulize Bashe anatembelea gari la thamani gani.
Ni yeye au ni wote ? Unahangaika na mkia wakati kichwa kipo
 
Mim nachouliza
Mkulima na mfanyakazi wanalipa gharama tofauti kwenye huduma za kijamii? Mfano maji, umeme, shule...
Sasa kwa nin mkulima apangiwe bei ya kuuza alicholima?

Kilo ya mchele iuzwe hata 10,000 njooni mlime na nyie mjue changamoto za kilimo.
Bei ya mazao ikiwa chini ni janga kwa wakulima.
Bashe ni waziri Bora zaidi kutokea kwenye wizara ya kilimo, hakuna kufunga mipaka acheni ubinafsi, njoon tulime
Nadhani haujachambua ulichoandika kabla haujakiandika....

Kwahio Waziri na Wizara ipo pale kama pambo ? Nini faida ya kuwa na Wizara au Waziri kama hawezi kupanga mikakati na ku-plan ahead..., Walishindwa kuwa na stock ya kutosha kukusanya demand ikiwa low ili sasa hivi ni kubwa waachie mzigo ili bei isifumuke.....

Unadhani mkulima peasant ananufaika sasa hivi au ni mlanguzi ambaye alikuwa na thinking and planning ahead ya ku-stock for a rainy day.... Na nchi ardhi kubwa kama hii wanashindwa kweli kufanya marketing ya mazao ya mkakati ili kuwasaidia hawa peasants na sio kutegemea njaa ya majirani ili waweze kujikimu ? au Njaa wa jamii nzima ili wao wanufaike ?

Fikiria upya ulichoandika; hapa sio mashindano bali ni kujenga taifa moja na basic needs zinahitajika kwa kila mmoja ziweze kupatikana (Chakula, Malazi na Mavazi)
 
Bashe yupo kwa ajiliya wakulima, mkulima ninachotaka ni bei nzuri na soko la uhakika.
Mbolea na mafuta imepanda bei dunia nzima the same to Tz.Hamna ruzuku kwa mkulima, njia pekee ya kufanya mkulima aendele kulima ni ipi?
Ni bei nzuri na soko.
Bei na soko lipo kwa nchi jirani.
Mwaka 2014 kwa kuhofia uchaguzi wa 2015 serikali ilizuia chakula kwenda nje, mim nilikuwa na gunia kadhaa za mahindi dodoma, hata wa kumpa kwa gunia 15,000 nilikosa.
2016 wengi hatukulima , kwa mara ya Kwanza bei ya unga wa mahindi ilifika 2,200 ikiwa juu ya mchele kwa kilo.

Kilimo hakiitaji siasa, fungua mipaka watu walime, funga mipaka tengeneza umaskin vijijini
 
Hivyo vipo ? Na unajua mkulima wa Tanzania 90% ni peasants ambao hata hawana uwezo wa kutoa gunia 10-20 hence wanategemea walanguzi na madalali wachukue hizo debe zao kadhaa ambapo mwisho wa siku wanajikuta wanauza mpaka mbegu..... Si majuzi tu hapa nimesikia wakulima wa Korosho wanashangaa ? Vipi na Mkonge wetu wa Kutosha Kahawa Chai n.k. how do we par with other global producers ?

Kutegemea mbolea ya nje na mafuta kutoka sijui wapi kwenye nchi kubwa kama hii ambayo ingeweza kutumia mabwawa na irrigation as well as being an energy powerhouse (Sio lazima pump za maji zitumie umeme after all we are in the tropics) ndio hayo nayosema myopic thinking...., yeye na wenzake kama waziri inabidi aje na njia mbadala sio majibu rahisi...., sijawahi kusema mtu yoyote apangiwe bei au sehemu ya kuuza ila mtu mwenye akili zako huwezi kujisifia kwamba nimefaulu sababu sijapangia watu bei; mfumuko wa bei sio sababu tunauza tu nje inaonyesha hakuna planning ya kutosha ya ku-forsee upcoming demand hence having surplus
Ni bei nzuri na soko.
Bei na soko lipo kwa nchi jirani.
Still unaangalia tatizo matokeo na sio mzizi wa tatizo hapa issue sio watu kuuza nje bali ni kwanini wakati mzigo ni mwingi hakuna storage ya kusaidia mambo yakiwa magumu..., hizi njaa ukame tunajua kabisa ni cycle ya miaka kama kumi wala haishangazi sasa planning ilikuwa wapi....
Mwaka 2014 kwa kuhofia uchaguzi wa 2015 serikali ilizuia chakula kwenda nje, mim nilikuwa na gunia kadhaa za mahindi dodoma, hata wa kumpa kwa gunia 15,000 nilikosa.
2016 wengi hatukulima , kwa mara ya Kwanza bei ya unga wa mahindi ilifika 2,200 ikiwa juu ya mchele kwa kilo.

Kilimo hakiitaji siasa, fungua mipaka watu walime, funga mipaka tengeneza umaskin vijijini
Sasa hio Serikali yako kwanini haikuchukua hayo mahindi ya kwako na kuyaweka stock kwa kipindi kama hiki...., unadhani mkulima wa Tanzania peasant hata hizo gunia / stock anazo au ndio alikuuzia wewe debe zake kadhaa ili upate gunia.....

Kumbuka sisemi mipaka ifungwe hio sio kazi yao ila kuhakikisha masoko ya uhakika mwaka mzima na hakuna mfumuko wa bei ndani ya nchi ndio kazi yao...., kama watu hawana uwezo wa ku-sustain maisha yao ya kila siku ni nini kazi ya serikali na sisi kulipa Tozo
 
Hivyo vipo ? Na unajua mkulima wa Tanzania 90% ni peasants ambao hata hawana uwezo wa kutoa gunia 10-20 hence wanategemea walanguzi na madalali wachukue hizo debe zao kadhaa ambapo mwisho wa siku wanajikuta wanauza mpaka mbegu..... Si majuzi tu hapa nimesikia wakulima wa Korosho wanashangaa ? Vipi na Mkonge wetu wa Kutosha Kahawa Chai n.k. how do we par with other global producers ?

Kutegemea mbolea ya nje na mafuta kutoka sijui wapi kwenye nchi kubwa kama hii ambayo ingeweza kutumia mabwawa na irrigation as well as being an energy powerhouse (Sio lazima pump za maji zitumie umeme after all we are in the tropics) ndio hayo nayosema myopic thinking...., yeye na wenzake kama waziri inabidi aje na njia mbadala sio majibu rahisi...., sijawahi kusema mtu yoyote apangiwe bei au sehemu ya kuuza ila mtu mwenye akili zako huwezi kujisifia kwamba nimefaulu sababu sijapangia watu bei; mfumuko wa bei sio sababu tunauza tu nje inaonyesha hakuna planning ya kutosha ya ku-forsee upcoming demand hence having surplus

Still unaangalia tatizo matokeo na sio mzizi wa tatizo hapa issue sio watu kuuza nje bali ni kwanini wakati mzigo ni mwingi hakuna storage ya kusaidia mambo yakiwa magumu..., hizi njaa ukame tunajua kabisa ni cycle ya miaka kama kumi wala haishangazi sasa planning ilikuwa wapi....

Sasa hio Serikali yako kwanini haikuchukua hayo mahindi ya kwako na kuyaweka stock kwa kipindi kama hiki...., unadhani mkulima wa Tanzania peasant hata hizo gunia / stock anazo au ndio alikuuzia wewe debe zake kadhaa ili upate gunia.....

Kumbuka sisemi mipaka ifungwe hio sio kazi yao ila kuhakikisha masoko ya uhakika mwaka mzima na hakuna mfumuko wa bei ndani ya nchi ndio kazi yao...., kama watu hawana uwezo wa ku-sustain maisha yao ya kila siku ni nini kazi ya serikali na sisi kulipa Tozo
Kunywa maji,Relax
 
Ngoja na wakulima tufaidi 😂😂😂japo hizo hizo hela tunazirudisha huko huko dukani !! Hivi nnavyotype Ndoo ya maharage inauzwa Elfu sabini na mbili (72000) wakati 2018 maharage yakitoka tu ilikua 20k-22k sokoni unapush kwa 35k mambo yako aste aste tunatarajia kuvuna tena mwezi wa tatu hali ya hewa isipokua mbaya bei zitapungua kidogo !!
 
Nadhani haujachambua ulichoandika kabla haujakiandika....

Kwahio Waziri na Wizara ipo pale kama pambo ? Nini faida ya kuwa na Wizara au Waziri kama hawezi kupanga mikakati na ku-plan ahead..., Walishindwa kuwa na stock ya kutosha kukusanya demand ikiwa low ili sasa hivi ni kubwa waachie mzigo ili bei isifumuke.....

Unadhani mkulima peasant ananufaika sasa hivi au ni mlanguzi ambaye alikuwa na thinking and planning ahead ya ku-stock for a rainy day.... Na nchi ardhi kubwa kama hii wanashindwa kweli kufanya marketing ya mazao ya mkakati ili kuwasaidia hawa peasants na sio kutegemea njaa ya majirani ili waweze kujikimu ? au Njaa wa jamii nzima ili wao wanufaike ?

Fikiria upya ulichoandika; hapa sio mashindano bali ni kujenga taifa moja na basic needs zinahitajika kwa kila mmoja ziweze kupatikana (Chakula, Malazi na Mavazi)
Waziri sio Mungu, upungufu wa mvua ulikuwepo na ni lazima upungufu ungejitokeza tu na hili alisema tangu mwanzo na kuwaambia wananchi wahifadhi chakula
Wanachoweza kufanya serikali ni kupunguza tu makali ya upungufu na sio kuzuia upungufu huo, na wananunua mahindi wakati wa mavuno na kuyatoa wakati wa upungufu maeneo yenye hali mbaya zaidi,
Nchi inajengwa na wananchi, hazijengwi na waziri
 
Hivyo vipo ? Na unajua mkulima wa Tanzania 90% ni peasants ambao hata hawana uwezo wa kutoa gunia 10-20 hence wanategemea walanguzi na madalali wachukue hizo debe zao kadhaa ambapo mwisho wa siku wanajikuta wanauza mpaka mbegu..... Si majuzi tu hapa nimesikia wakulima wa Korosho wanashangaa ? Vipi na Mkonge wetu wa Kutosha Kahawa Chai n.k. how do we par with other global producers ?

Kutegemea mbolea ya nje na mafuta kutoka sijui wapi kwenye nchi kubwa kama hii ambayo ingeweza kutumia mabwawa na irrigation as well as being an energy powerhouse (Sio lazima pump za maji zitumie umeme after all we are in the tropics) ndio hayo nayosema myopic thinking...., yeye na wenzake kama waziri inabidi aje na njia mbadala sio majibu rahisi...., sijawahi kusema mtu yoyote apangiwe bei au sehemu ya kuuza ila mtu mwenye akili zako huwezi kujisifia kwamba nimefaulu sababu sijapangia watu bei; mfumuko wa bei sio sababu tunauza tu nje inaonyesha hakuna planning ya kutosha ya ku-forsee upcoming demand hence having surplus

Still unaangalia tatizo matokeo na sio mzizi wa tatizo hapa issue sio watu kuuza nje bali ni kwanini wakati mzigo ni mwingi hakuna storage ya kusaidia mambo yakiwa magumu..., hizi njaa ukame tunajua kabisa ni cycle ya miaka kama kumi wala haishangazi sasa planning ilikuwa wapi....

Sasa hio Serikali yako kwanini haikuchukua hayo mahindi ya kwako na kuyaweka stock kwa kipindi kama hiki...., unadhani mkulima wa Tanzania peasant hata hizo gunia / stock anazo au ndio alikuuzia wewe debe zake kadhaa ili upate gunia.....

Kumbuka sisemi mipaka ifungwe hio sio kazi yao ila kuhakikisha masoko ya uhakika mwaka mzima na hakuna mfumuko wa bei ndani ya nchi ndio kazi yao...., kama watu hawana uwezo wa ku-sustain maisha yao ya kila siku ni nini kazi ya serikali na sisi kulipa Tozo
Ntakujibu, ngojea nasikia hodi na mngurumo wa kirukuu njee labda ntauza sado kadhaa za choroko
 
Waziri sio Mungu, upungufu wa mvua ulikuwepo na ni lazima upungufu ungejitokeza tu na hili alisema tangu mwanzo na kuwaambia wananchi wahifadhi chakula
Upungufu wa mvua ni jambo la kushangaza au its a well known phenomena na wanajitayarisha vipi na hii well known factor au ni mwendo wa kufanya betting hadi kwenye Sera za Nchi
Wanachoweza kufanya serikali ni kupunguza tu makali ya upungufu na sio kuzuia upungufu huo,
Kupunguza makali vitu vimepanda almost 100 % na wakati huo huo kuna tozo za kufa mtu.., huyu raia unategemea afanye nini ili aweze kujipatia moja ya basic need yake muhimu
na wananunua mahindi wakati wa mavuno na kuyatoa wakati wa upungufu maeneo yenye hali mbaya zaidi,
Nchi inajengwa na wananchi, hazijengwi na waziri
walinunua mahindi wapi wakati miaka kadhaa iliyopita watu mahindi yaliozea shambani ?
 
Upungufu wa mvua ni jambo la kushangaza au its a well known phenomena na wanajitayarisha vipi na hii well known factor au ni mwendo wa kufanya betting hadi kwenye Sera za Nchi

Kupunguza makali vitu vimepanda almost 100 % na wakati huo huo kuna tozo za kufa mtu.., huyu raia unategemea afanye nini ili aweze kujipatia moja ya basic need yake muhimu

walinunua mahindi wapi wakati miaka kadhaa iliyopita watu mahindi yaliozea shambani ?
Upungufu hautokei kila mwaka, mfano mwaka huu mvua zinaendelea kunyesha tu vizuri
hata hivyo serikali kila mwaka lazima inanunua mahindi na kuyahifadhi kwenye maghala

Vitu kupanda ndio kutokana na huo upungufu sasa, ni lazima ingetokea tu

Kama hukuona serikali ikinunua mahindi mwaka jana kutoka kwa wakulima unahitaji kwenda kutafuta taarifa zaidi kabla ya kuja kubishana hapa
 
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.

Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Vipi kuhusu mkulima naye,ameuza gunia la mpunga kwa shillingi ngapi?Hapa nilipo ni 210,000 haijawahi kufikiwa.Gunia tano una 1m,tutaoa sana mwaka huu.Mkulima amefaidika sana na watu watapenda kulima sasa
 
Back
Top Bottom