Bashe amewakuta Watanzania wananunua kilo ya mchele 1,800 sasa wananunua 3,500

Sasa ulitaka Bashe afanye nini? Mbona kwenye bidhaa nyingine zinapopanda hamlalamiki.Mnamuonea mkulima wa Tanzania wakati wa kulima hampo nae,ila bei zikipanda shida.Acha soko litaamua msimu huu.
Maana last season mvua hazikuwa za kutosha na ghrama za mbolea zilikuwa juu hivyo wakulima wengi hawakulima sana.Tofauti na msimu huu baada ya serikali kuweka ruzuku kwenye Mbolea
 
Ndio maana tukawaambia fungeni mipaka ili vyakula visiende nje mkakaza mafuvu huku mkibinua viuno kwamba mnafungua nchi
Swala la Food Security au kufunga mipaka iwe ni kwa gharama ya nani? Kwa nini kila mtu asihusike kama nia ni hiyo? siyo short cut kwa kufunga mipaka na kulazimisha bei iwe sh elfu ishirini na kumtwisha hiyo food security yenu mkulima pekee. Imesemwa hapa, wakati analima nyie mlikuwa mmekaa kwenye stool na mrija, anahenyeka na pembejeo nyie mnapiga stories vijiweni. Anahangaika peke yake. Sasa kavuna mnatoka kwenye stools na vijiweni na vitisho vya food security. Come on.
Mimi ni mkulima, nimeuza mazao yangu kwa bei nzuri na nimerudisha gharama zangu na kupata faida. Siyo misimu iliyopita, ilikuwa ni hasara tupu. Sasa kwanini msimu huu nisiongeze shamba? Nitafanya hivyo tuu kutukana na msimamo wa wizara na raisi kuwa kilimo ni biashara. na kama itaendelea hivi, hizi kelele za vijana na wasomi wetu kukosa ajira zitakwisha.
So acheni approach hii iendelee. Miako mitano hadi kumi ijayo, kelele za vijana kukosa kazi zitaisha. Kilimo na biashara ya kuongeza thamani ya mazao itajongeza nchi mbele zaidi.
Aluta Continua Waziri Bashe na serikali ya mama kwa hili.
 
Sasa watu watarudi shambanii japo tutaumiaa snaa huyo mkulimaa atauza kilo kwa wastani wa 1200 lakini atakuja kununua kwa wastani wa 4000 sasa hapo ndo UUzaji wa chakula nje uwe wa mipaka na kiasi lasivyo kuna siku nchi itaagiza maindi kenya ambako tuliwauziaa.
 
Kwani atauza chote Ili akose chakula? Hiyo haipo..
Hatuwezi agiza chakula Kenya ndio maana serikali Huwa inanunua chakula Cha Hifadhi Kwa Ajili ya Hilo unalosema wewe
 
Swala la Food Security au kufunga mipaka iwe ni kwa gharama ya nani? Kwa nini kila mtu asihusike kama nia ni hiyo? siyo short cut kwa kufunga mipaka na kulazimisha bei iwe sh elfu ishirini na kumtwisha hiyo food security yenu mkulima pekee. Imesemwa hapa, wakati analima nyie mlikuwa mmekaa kwenye stool na mrija, anahenyeka na pembejeo nyie mnapiga stories vijiweni. Anahangaika peke yake. Sasa kavuna mnatoka kwenye stools na vijiweni na vitisho vya food security. Come on.
Mimi ni mkulima, nimeuza mazao yangu kwa bei nzuri na nimerudisha gharama zangu na kupata faida. Siyo misimu iliyopita, ilikuwa ni hasara tupu. Sasa kwanini msimu huu nisiongeze shamba? Nitafanya hivyo tuu kutukana na msimamo wa wizara na raisi kuwa kilimo ni biashara. na kama itaendelea hivi, hizi kelele za vijana na wasomi wetu kukosa ajira zitakwisha.
So acheni approach hii iendelee. Miako mitano hadi kumi ijayo, kelele za vijana kukosa kazi zitaisha. Kilimo na biashara ya kuongeza thamani ya mazao itajongeza nchi mbele zaidi.
Aluta Continua Waziri Bashe na serikali ya mama kwa hili.
Wakitaka bei wanazotaka hizo serikali itoe guarantee ya bei ya mazao ya Kilimo,Sasa serikali ibebe mizigo hiyo ya nini?
 
Kwahiyo hamtaki wakulima wafaidi matunda ya jembe lao?
Kama ghali sana lima mpunga na maharage yako
Kutesa kwa zamu kipindi Cha nyuma mkulima wa mpunga ilikuwa sio kazi rahisi kujenga nyumba kwa kutegemea mpunga lakini saizi ukiuza gunia kumi tu unasimamisha nyumba kidogo yenye afadhali (kwa kijijini)
 
Tunazungumza matatizo yetu kama Tanzania na hakuna nchi inayo share matatizo na nchi nyingine Duniani.Kwaiyo nchi zingine wakitembea uchi na sisi tutembee uchi wakati tuna uwezo wa kupata mavazi!
Tanzania haipo Mars, ipo hapa duniani, dunia ipo interconnected kibiashara na kiuchumi
Tanzania inaagiza vitu vingi ikiwamo pembejeo za kilimo kutoka nchi nyingine
Kuna matatizo yakitokea yataathiri karibu nchi zote duniani
 
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.

Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia.
View attachment 2487254
Wacha UJINGA wewe ndezi. Hiyo ni FURSA nenda ukalime mpunga Upeleke sokoni upate fedha.
 
Back
Top Bottom