Bashe amewakuta Watanzania wananunua kilo ya mchele 1,800 sasa wananunua 3,500

Ila kwa mvua zinavyonyesha vizuri mpaka sasa na watu walivyojitokeza kulima kwa wingi tuombe Mungu mambo yakiendelea hivi mwakani bei ya mazao itashuka sana

Kupanda kwa bei ya mazao akumtegemei Waziri wa kilimo inategemeana na hali ya hewa na mavuno yanayopatika mwaka husika mwaka 2016 kilo moja ya sembe tulinunua tsh2500/= au umesahau?
Uongo wa kijinga...2016 halikuwa kutokea hilo.
 
Ila kwa mvua zinavyonyesha vizuri mpaka sasa na watu walivyojitokeza kulima kwa wingi tuombe Mungu mambo yakiendelea hivi mwakani bei ya mazao itashuka sana

Kupanda kwa bei ya mazao akumtegemei Waziri wa kilimo inategemeana na hali ya hewa na mavuno yanayopatika mwaka husika mwaka 2016 kilo moja ya sembe tulinunua tsh2500/= au umesahau?
Mkuu jiandae kifedha na kisaikolojia, bei hazitashuka. Maana wanunuzi wa nje ya nchi ni wengi mno. Mchele na Maharage ni bidhaa zinazohitajika sana duniani.
 
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.

Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia
View attachment 2487254
IMG-20230113-WA0025.jpg
 
Mafuta ya Trekta Bei ameipandisha Beshe?? Mbolea zinazozalishwa na Ges ya Ukraine Bei zake amezipandisha Bashe?? Diesel inayotumika na mashine za kuvuna/Kukoboa na ile inayotumika na Mafuso yanayoleta Michele, Mahindi mijini na Kariakoo Dar es salaam , Bei yake inapangwa na Bashe??? Jiongeze na jifunze mambo
 
Matatizo ya hili taifa ni mengi na makubwa kwa ku-pinpoint vichache unakuwa hauwatendei mema hawa watawala..., vitu vinategemeana kuanzia Nishati kutokuwa ya Uhakika..., uzembe wa kutokujiandaa kwa long term planning, bila kusahau kutumia pesa nyingi kwa propaganda na vitu vya kupita badala ya ku-stick with the basics...
 
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe wakati anakabidhiwa Wizara ya Kilimo aliwakuta watanzania wananunua mchele Kilo 1,300 hadi 2,000 kulingana na ubora.

Sasa hivi 2023 tunanunua kilo 3,500 ya Mchele alafu bado tunaamini Bashe ni Waziri mzuri wa Kilimo na anamsaidia vizuri Mh Rais Samia
View attachment 2487254
Wewe ulitakaje? Shenzi nyie mlizoea kunyonya jasho la wakulima.

Nakukumbusha kwenda kulima mvua zinanyesha..
 
Mafuta ya Trekta Bei ameipandisha Beshe?? Mbolea zinazozalishwa na Ges ya Ukraine Bei zake amezipandisha Bashe?? Diesel inayotumika na mashine za kuvuna/Kukoboa na ile inayotumika na Mafuso yanayoleta Michele, Mahindi mijini na Kariakoo Dar es salaam , Bei yake inapangwa na Bashe??? Jiongeze na jifunze mambo
Maswali yote hayo unayouliza vitu hivyo vilikuwa havitumiki kabla ya Bashe kuwa Waziri? mbona suala la wanunuzi wa mazao mashambani kutoka nchi za nje huzungumzii?
 
Back
Top Bottom