PreGE2025 Bashe: Bila Rais Samia kuingilia kati 2021, Sekta ya kilimo iliporomoka na kufa. Tunampongeza na kumshukuru kwa kuokoa Kilimo nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
My Take
Mojawapo ya sekta ambazo Serikali ya Samia imetoa msukimo mkubwa ni Kilimo.Soma Pre GE2025 - Rais Samia atimiza ahadi, amwaga Magari 20 ya kuchimbia Visima bure kwa Wakulima wadogo

Hata Mimi nimerudi kuanza kulima tena awamu ya 6 baada ya kuacha 2016 Kwa sababu ya bei mbovu za Kilimo na kutokuwepo Kwa masoko Wala usaidizi wa kiserikali.

Hongera sana mama ,chini ya Uongozi wako Kilimo ni biashara.

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema kuwa hadi kufikia mwaka wa fedha 2020/21, sekta ya kilimo nchini Tanzania ilikuwa ikitegemea sana msaada wa Mungu pamoja na juhudi binafsi za wakulima.

“Hali hii ilisababishwa na uwekezaji hafifu na usio wa uhakika kutoka serikalini, kutokuwepo kwa utambuzi rasmi wa kilimo ndani ya mfumo wa kitaifa, na kutopewa kipaumbele kwa mazao ya kilimo katika usafirishaji kwa njia ya meli — jambo ambalo mara nyingi lilipelekea kuharibika kwa mazao,” alisema Bw. Bashe.

Alitoa kauli hiyo Jumatano, Mei 21, 2025, wakati akiwasilisha bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2025/26 bungeni jijini Dodoma.

Hongera bwana Bashe 👇👇

View attachment 3341296
Wakati secta hiyo inakufa, ilikuwa inaongozwa na nani na mbona hatukuelezwa kuwa inakufa?
 
View: https://www.instagram.com/p/DNAnm1oskn_/?igsh=OGdvdncyeGp2NTBu
 
Back
Top Bottom