johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sijui kwa nini Waziri kaamua kujibu namna hii....Waziri wa Kilimo mh Bashe amesema Tanzania haiwezi kuiiga Kenya kutumia mbegu za GMO
Bashe amesema utafiti waliofanya kwenye zao la Pamba waligundua mbegu zetu zinazalisha mara mbili ya uwezo wa GMO
Pia Bashe amesema ni jambo la hatari kutumia mbegu ambazo haijulikani mmiliki wake ni nani
Source: BBC Dira ya Dunia
Kuna watu wakishika mic hawajui kwamba wana ongea na watu wenye akili.Waziri wa Kilimo mh Bashe amesema Tanzania haiwezi kuiiga Kenya kutumia mbegu za GMO
Bashe amesema utafiti waliofanya kwenye zao la Pamba waligundua mbegu zetu zinazalisha mara mbili ya uwezo wa GMO
Pia Bashe amesema ni jambo la hatari kutumia mbegu ambazo haijulikani mmiliki wake ni nani
Source: BBC Dira ya Dunia
Wamefanya utafitiKuna watu wakishika mic hawajui kwamba wana ongea na watu wenye akili.
Ati GMO in mazao kidogo!!!
Mbona GMO zipo na zinatumika kwenye mazao mengi tu.Kwa mara ya kwanza nitakuspot leo ndugu bashe
Uliziona wapi? Tofautisha GMO na Hybrid! Hivi ni vitu viwili tofauti!Mbona GMO zipo na zinatumika kwenye mazao mengi tu.
Mkuu hizo unazoziona sio GMO hizo ni hybrid seeds, kwa msaada zaidi kujielimisha kuhusu GMO vs HYBRID...ChatGPTTechnically, tayari tunatumia GMO, I mean technically, hizo mbegu za muda mfupi sio genetically modified ili zikomae haraka? May be we are afraid kuingia jumlajumla.
Hata wanyama, kuku wa kisasa l, n'gombe, mbuzi wa kisasa.
Anyway, GMO pia ni risk, wenzetu Wana maarifa ya kuzipandiza madude ambayo yataathiri uasili wa binadamu, may be kushusha IQ, kuweka maradhi, hasa kwa Afrika, na pia itamfanya mkulima awe mtu wa sokoni Kila mwaka kununua mbegu.
Na wakiamua, wanawauzia mbegu feki, hazioti, wanawapa crisis ya chakula nchi nzima.
Usalama wa chakula, ni usalama wa Taifa.
Like mzazo gani..?Mbona GMO zipo na zinatumika kwenye mazao mengi tu.
Genetically modified (GM) seeds are created in a laboratory using genetic engineering, a technology that directly manipulates an organism's genes. Hybrid seeds are created through the process of cross-breeding two plants of the same species that each have their own desirable traits. Hybridization often takes place in nature, but it can also be done in laboratories. Hybrid seeds tend to produce plants with enhanced characteristics, such as improved disease resistance and higher yields.Mkuu hizo unazoziona sio GMO hizo ni hybrid seeds, kwa msaada zaidi kujielimisha kuhusu GMO vs HYBRID...ChatGPT
Kwa Tanzania mm ni mkulima na sijawahi kuziona titajie wew umeziona za mazao Gani?Mbona GMO zipo na zinatumika kwenye mazao mengi tu.