johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Waziri wa Kilimo mh Bashe amesema Tanzania haiwezi kuiiga Kenya kutumia mbegu za GMO
Bashe amesema utafiti waliofanya kwenye zao la Pamba waligundua mbegu zetu zinazalisha mara mbili ya uwezo wa GMO
Pia Bashe amesema ni jambo la hatari kutumia mbegu ambazo haijulikani mmiliki wake ni nani
CHanzo: BBC Dira ya Dunia