Bashe: Hatuwezi kutumia mbegu za GMO kwa sababu hatujui nani anazimiliki, pili uzao wake ni mdogo tulijaribu kwenye Pamba!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Kilimo mh Bashe amesema Tanzania haiwezi kuiiga Kenya kutumia mbegu za GMO

Bashe amesema utafiti waliofanya kwenye zao la Pamba waligundua mbegu zetu zinazalisha mara mbili ya uwezo wa GMO

Pia Bashe amesema ni jambo la hatari kutumia mbegu ambazo haijulikani mmiliki wake ni nani

CHanzo: BBC Dira ya Dunia
 
Source: BBC Dira ya Dunia
Sijui kwa nini Waziri kaamua kujibu namna hii....
Majibu ya namna hii huwa yanaleta sintofahamu sana...
Anyway....
 
Technically, tayari tunatumia GMO, I mean technically, hizo mbegu za muda mfupi sio genetically modified ili zikomae haraka? May be we are afraid kuingia jumlajumla.
Hata wanyama, kuku wa kisasa l, n'gombe, mbuzi wa kisasa.

Anyway, GMO pia ni risk, wenzetu Wana maarifa ya kuzipandiza madude ambayo yataathiri uasili wa binadamu, may be kushusha IQ, kuweka maradhi, hasa kwa Afrika, na pia itamfanya mkulima awe mtu wa sokoni Kila mwaka kununua mbegu.

Na wakiamua, wanawauzia mbegu feki, hazioti, wanawapa crisis ya chakula nchi nzima.

Usalama wa chakula, ni usalama wa Taifa.
 
Waziri wa Kilimo mh Bashe amesema Tanzania haiwezi kuiiga Kenya kutumia mbegu za GMO

Bashe amesema utafiti waliofanya kwenye zao la Pamba waligundua mbegu zetu zinazalisha mara mbili ya uwezo wa GMO

Pia Bashe amesema ni jambo la hatari kutumia mbegu ambazo haijulikani mmiliki wake ni nani

Source: BBC Dira ya Dunia
Kuna watu wakishika mic hawajui kwamba wana ongea na watu wenye akili.
Ati GMO in mazao kidogo!!!
 
Naunga mkono hoja hii ya mheshimiwa Bashe lakn ukija mtaani tyr mbegu hizi zipo so cha msingi watafute njia mbadala ya kuthibiti uingizwaji wa mbegu hizi kwa sababu bado hatujui malengo makuu ni yapi?
 
Technically, tayari tunatumia GMO, I mean technically, hizo mbegu za muda mfupi sio genetically modified ili zikomae haraka? May be we are afraid kuingia jumlajumla.
Hata wanyama, kuku wa kisasa l, n'gombe, mbuzi wa kisasa.

Anyway, GMO pia ni risk, wenzetu Wana maarifa ya kuzipandiza madude ambayo yataathiri uasili wa binadamu, may be kushusha IQ, kuweka maradhi, hasa kwa Afrika, na pia itamfanya mkulima awe mtu wa sokoni Kila mwaka kununua mbegu.

Na wakiamua, wanawauzia mbegu feki, hazioti, wanawapa crisis ya chakula nchi nzima.

Usalama wa chakula, ni usalama wa Taifa.
Mkuu hizo unazoziona sio GMO hizo ni hybrid seeds, kwa msaada zaidi kujielimisha kuhusu GMO vs HYBRID...ChatGPT
 
Genetically modified (GM) seeds are created in a laboratory using genetic engineering, a technology that directly manipulates an organism's genes. Hybrid seeds are created through the process of cross-breeding two plants of the same species that each have their own desirable traits. Hybridization often takes place in nature, but it can also be done in laboratories. Hybrid seeds tend to produce plants with enhanced characteristics, such as improved disease resistance and higher yields.
 
Mbona GMO zipo na zinatumika kwenye mazao mengi tu.
Kwa Tanzania mm ni mkulima na sijawahi kuziona titajie wew umeziona za mazao Gani?

Tanzania ni hybrid tu ndo zimezagaa kila kona na kuuzwa madukani GMO zinapatikana duka Gani nchi hii
 
Back
Top Bottom