Bashe na Aweso mnazitendea haki nafasi zenu

juma30

Senior Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
159
Reaction score
459
Wana Bodi Mawaziri Hussein Bashe na Jumaa Aweso kwa sasa wanaonekana kung'ara sana kwa wananchi kutokana na jitihada zao wanazofanya za kuleta mageuzi ya kweli katika Sekta wanazoziongoza nimeona Bashe ameshaanza Programu kubwa ya Kilimo cha Umwagiliaji na mashamba yameshaanza kuandaliwa maeneo ya Dodoma na Aweso tunaona anavyopambana na wakandarasi kuhakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi mijini na vijijini sasa yuko Kigoma.

Mawaziri wengine wako wapi.
 
Aweso ameacha wizi? Au kwa kuwa analindwa na PCCB?
 
Aliiba nini? Au ndo dhana tu.
Unauliza kama hakimu? Sisi tunaona anachoiba au utataka mashahidi? Waulize washirika wake wa ofisi ya Iringa. Taarifa zote tunazo bhana! Pesa inapigwa kishenzi kila mwezi.
 
Wana Bodi Mawaziri Hussein Bashe na Jumaa Aweso kwa sasa wanaonekana kung'ara sana kwa wananchi kutokana na jitihada zao wanazofanya za kuleta mageuzi ya kweli katika Sekta wanazoziongoza nimeona Bashe ameshaanza Programu kubwa ya Kilimo cha Umwagiliaji na mashamba yameshaanza kuandaliwa maeneo ya Dodoma na Aweso tunaona anavyopambana na wakandarasi kuhakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi mijini na vijijini sasa yuko Kigoma.

Mawaziri wengine wako wapi.
Wanapambana sana
 
Naunga mkono hoja jamaa wanajitahidi sana
 
Walau mnatuonesha thamani ya kuitwa "WANASIASA"
Hongereni kwa kazi nzuri. Kuna baadhi ya wenzenu ni janja janja mtupu!
 
Safi sana, siyo kila siku kukosoa tu mtu akifanya vizuri apongezwe
 
Wana Bodi Mawaziri Hussein Bashe na Jumaa Aweso kwa sasa wanaonekana kung'ara sana kwa wananchi kutokana na jitihada zao wanazofanya za kuleta mageuzi ya kweli katika Sekta wanazoziongoza nimeona Bashe ameshaanza Programu kubwa ya Kilimo cha Umwagiliaji na mashamba yameshaanza kuandaliwa maeneo ya Dodoma na Aweso tunaona anavyopambana na wakandarasi kuhakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi mijini na vijijini sasa yuko Kigoma.

Mawaziri wengine wako wapi.
Angalia matokeo sio kila Wizara ni ya kuzunguka..

Hukumuona Waziri Makamba akizunguka wiki iliyopita?

Binafsi naona Mawaziri wengi wanfanya vizuri ni Wizara chache zinazingua hasa Kilimo na Uvuvi, Ardhi,Utalii,Jijsia na Makundi maalumu,utumishi na Utawala Bora
 
Aweso anacheza na camera ili aonekane anapiga kazi kama hamjui 🤣🤣.janja janja
 
Huu ushabiki maandazi ndiyo unatuchelewesha Sana. Na nadhani unasababishwa na uzumbukuku pamoja na ujinga.

Mleta mada umetumia vigezo gani kufanya ratings za mawaziri mpk ukajiridgisha kuwa mawaziri uliyowataja kuwa bora kuliko wengine?

Hao mawaziri wamefanya Jambo gani linalopimika ktk mizania ya ulinganifu na mawaziri wengine Hadi uwape sifa???
 
Huu ushabiki maandazi ndiyo unatuchelewesha Sana. Na nadhani unasababishwa na uzumbukuku pamoja na ujinga.

Mleta mada umetia vigezo gani kufanya ratings za mawaziri mpk ukajiridgisha kuwa mawaziri uliyowataja kuwa bora kuliko wengine?

Hao mawaziri wamefanya Jambo gani linalopimika ktk mizania ya ulinganifu na mawaziri wengine Hadi uwape sifa???
Humu kuna watu wanajitekenya na kucheka wenyewe. Akili kichwani mwako
 
Back
Top Bottom