Aliiba nini? Au ndo dhana tu.Aweso ameacha wizi? au kwa kuwa analindwa na PCCB?
Unauliza kama hakimu? Sisi tunaona anachoiba au utataka mashahidi? Waulize washirika wake wa ofisi ya Iringa. Taarifa zote tunazo bhana! Pesa inapigwa kishenzi kila mwezi.Aliiba nini? Au ndo dhana tu.
Wanapambana sanaWana Bodi Mawaziri Hussein Bashe na Jumaa Aweso kwa sasa wanaonekana kung'ara sana kwa wananchi kutokana na jitihada zao wanazofanya za kuleta mageuzi ya kweli katika Sekta wanazoziongoza nimeona Bashe ameshaanza Programu kubwa ya Kilimo cha Umwagiliaji na mashamba yameshaanza kuandaliwa maeneo ya Dodoma na Aweso tunaona anavyopambana na wakandarasi kuhakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi mijini na vijijini sasa yuko Kigoma.
Mawaziri wengine wako wapi.
Naunga mkono hoja jamaa wanajitahidi sanaWana Bodi Mawaziri Hussein Bashe na Jumaa Aweso kwa sasa wanaonekana kung'ara sana kwa wananchi kutokana na jitihada zao wanazofanya za kuleta mageuzi ya kweli katika Sekta wanazoziongoza nimeona Bashe ameshaanza Programu kubwa ya Kilimo cha Umwagiliaji na mashamba yameshaanza kuandaliwa maeneo ya Dodoma na Aweso tunaona anavyopambana na wakandarasi kuhakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi mijini na vijijini sasa yuko Kigoma.
Mawaziri wengine wako wapi.
Angalia matokeo sio kila Wizara ni ya kuzunguka..Wana Bodi Mawaziri Hussein Bashe na Jumaa Aweso kwa sasa wanaonekana kung'ara sana kwa wananchi kutokana na jitihada zao wanazofanya za kuleta mageuzi ya kweli katika Sekta wanazoziongoza nimeona Bashe ameshaanza Programu kubwa ya Kilimo cha Umwagiliaji na mashamba yameshaanza kuandaliwa maeneo ya Dodoma na Aweso tunaona anavyopambana na wakandarasi kuhakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi mijini na vijijini sasa yuko Kigoma.
Mawaziri wengine wako wapi.
Humu kuna watu wanajitekenya na kucheka wenyewe. Akili kichwani mwakoHuu ushabiki maandazi ndiyo unatuchelewesha Sana. Na nadhani unasababishwa na uzumbukuku pamoja na ujinga.
Mleta mada umetia vigezo gani kufanya ratings za mawaziri mpk ukajiridgisha kuwa mawaziri uliyowataja kuwa bora kuliko wengine?
Hao mawaziri wamefanya Jambo gani linalopimika ktk mizania ya ulinganifu na mawaziri wengine Hadi uwape sifa???