Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Hatuwezi kuwa Nchi ya kipaombele Cha Kila zao,hakuna Nchi inafanya ujinga huo hapa Duniani.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/DDj_P3FujTi/?igsh=MWRybGlmeDc0aTByaA==
Aisee hivi kazi ya Serikali ni nini ? Kuchagulia wananchi zao la kulima ? Yaani mtu kwa pesa zake ameweza kulima na kuivisha alafu hakuna soko unasema hio sio kazi ya Serikali ? Alafu unaleta story za kwamba hakuna Utani ? Hawa ndio Jokers kabisa...

 
Ndio ,lazima mchaguliwe mazao ambayo sio tuu yatawasaidia Bali yatakuwa na maslahi Kwa Nchi.

Hatuwezi kuwa Nchi ya Kila zao ni sawa na kukosa vipaombele,Ukiwa kwenye mazao ambayo hayako kwenye Dira ya serikali mnatakiwa muwe kwenye ushirika Ili japo mpate usaidizi.

Mwisho unawekeza kwenye kitu hujaandaa soko harafu kikinuka uje kulaumu Serikali? Uko sawa kichwani?
 
Kuna kale kamsemo kanasema talk huwa haipiki rice....
Maneno mengi matokeo kisoda....
 
Miradi mingi ya umwagiliaji inasua sua sana. Mingi ya mwaka wa fedha uliopita haijaanza, mingine wakandarasi wamesimama.
Hongera Rais Samia kwa kukipa kilimo kipaumbele kwa vitendo. Waziri Bashe anasimamia kwa dhati maono yako.
 
Miradi mingi ya umwagiliaji inasua sua sana. Mingi ya mwaka wa fedha uliopita haijaanza, mingine wakandarasi wamesimama.

Hongera Rais Samia kwa kukipa kilimo kipaumbele kwa vitendo. Waziri Bashe anasimamia kwa dhati maono yako.
Walau imeanza, mingine imekamilika na mingine inaendelea.

Wengine hakuna walichofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…