SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 1,213
- 1,918
MAPINDUZI YA KILIMO...
KILIMO KWANZA e.t.c hamna jipya
KILIMO KWANZA e.t.c hamna jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huoni Mapya utakuwa na matatizo kichwani 👇👇MAPINDUZI YA KILIMO...
KILIMO KWANZA e.t.c hamna jipya
Hatuwezi kuwa Nchi ya kipaombele Cha Kila zao,hakuna Nchi inafanya ujinga huo hapa Duniani.👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DDj_P3FujTi/?igsh=MWRybGlmeDc0aTByaA==
Ndio ,lazima mchaguliwe mazao ambayo sio tuu yatawasaidia Bali yatakuwa na maslahi Kwa Nchi.Aisee hivi kazi ya Serikali ni nini ? Kuchagulia wananchi zao la kulima ? Yaani mtu kwa pesa zake ameweza kulima na kuivisha alafu hakuna soko unasema hio sio kazi ya Serikali ? Alafu unaleta story za kwamba hakuna Utani ? Hawa ndio Jokers kabisa...
Majukumu ya Waziri wa Kilimo ni yapi?
Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni wanyonyaji ambao wanataka kunyonya jasho la mkulima. Lakini ukiangalia kwa marefu na mapana hawa...www.jamiiforums.com
Akizungumza Leo huko Kigoma, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia hafanyi Utani na Amedhamiria kumkomboa mkulima wa Tanzania Kupitia Kilimo Cha Umwagiliaji.
Waziri Bashe ameyasema hayo wakati akimkabidhi mradi Mkandarasi anaejenga skimu ya Umwagiliaji ya Luiche yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 65.👇👇
=======
Waziri wa Kilimo Bashe Hussein amewahakikishia Watanzania kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hssan amedhamiria kuleta mapinduzi sekta ya umwagiliaji, hivyo miradi yote aliyoahidi itatekelezwa.
Waziri Bashe amesisitiza utekelezaji wa miradi hiyo unaofanywa na Tume ya Taifa ya Umwagiliaji si hadithi bali umelenga kuinua sekta ya Kilimo cha Umwagiliaji na kuchochea ukuaji wa uchumi nchini.
Ameitakata Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kujipanga kuhakikisha wanatekeleza miradi hiyo na wananchi wapuuze wanaowalaghai kuuza mashamba.
Waziri Bashe amesema hayo wakati akizungumza na wadau wa umwagiliaji katika eneo la mradi wa Luiche, ambapo amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha utekelezaji wa mradi huo
"Leo tumefanya uzinduzi wa mradi mkubwa wa umwagiliaji katika bonde la Luiche wilayani Kigoma katika mkoa wa Kigoma, miradi hiyo yenye thamani ya zaidi ya bilioni 60 itakwenda kunufaisha zaidi ya wakulima 9312 kupitia kilimo cha umwagiliaji," amesema Waziri Bashe.
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Raymond Mndolwa, amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha utekelezaji wa mradi wa bonde la Luiche, ambao umekuwa ukizungumzwa toka nchi ilipopata Uhuru na kwamba uwekezaji huo mkubwa uliyofanywa na serikali unakwenda kuleta mapinduzi makubwa kiuchumi kwa wananchi wa Kigoma.
Pia soma Mpanda: Rais Samia Asema Tunatoka Kwenye Kilimo cha Mazoea Cha kula na Kujikimu tunaelekea Kwenye Kilimo Biashara na Umwagiliaji
Kati ya mambo mengi ambayo yametwkelezwa awamu ya 6 ni ,
1.Kuonge Bajeti ya Kilimo kutoka Bili.370 Hadi Trilioni 1.2(zaidi ya Bilioni 400 Zinaenda kwenye Umwagiliaji)
2.Mama anajenga zaidi ya hekta 500,000 za Umwagiliaji kwa.moigo kutoka hekta 700,000 zilizopo Toka uhuru
3.Kuanzisha Mnada wa Chai hapa Tanzania,awali ulikuwa Mombasa Kenya
4.Tanzania kuwa namba 2 Africa Kwa uzalishaji wa Tumbaku na parachichi.
5.Kuanzisha Mpango wa ruzuku ya mbolea na mbegu
6.Kuanzisha Mpango wa kujenga na kuhifadhi Tani za mazao kutoka 250,000 Kwa mwaka Hadi zaidi ya metric tons 1,000,0000 Kwa mwaka huku lengo likiwa ni Tani Milioni 3 by 2030.
7.Kufufua mashamba ya mbegu za Serikali Kupitia ASA
8.Kuongeza pesa za Utafiti kwenye Vyuo vya Kilimo.na Utafiti.
9.Kununua Vitendea kazi,Kujenga makazi na kuajiri Watumishi (Wahandisi) ambao wanasimamia Kilimo huko Wilayani.
10.Kuanzisha Programu ya BBT Kwa Vijana
11.Kushushwa Kwa riba ya mikopo ya sekta ya Kilimo kutoka 20% Hadi 9%
=====
My Take
Safari ya Tanzania kuwa ghala la kulisha Afrika inaendelea.
Kauli mbinu zilizozoeleka zinatekelezwa Kwa Vitendo.
Hongera Samia, Hongera Bashe Kwa kuitimiza ndoto ya Baba wa Taifa Kwa vitendo,ajenda 10/30 kazi inaendelea 👇👇
View: https://youtu.be/h59ZnQiXrpY?si=Yd4OktRPtdfOUqGx
Au siyo? 👇👇Kuna kale kamsemo kanasema talk huwa haipiki rice....
Maneno mengi matokeo kisoda....

Walau imeanza, mingine imekamilika na mingine inaendelea.Miradi mingi ya umwagiliaji inasua sua sana. Mingi ya mwaka wa fedha uliopita haijaanza, mingine wakandarasi wamesimama.
Hongera Rais Samia kwa kukipa kilimo kipaumbele kwa vitendo. Waziri Bashe anasimamia kwa dhati maono yako.