Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Kwamaelezo ya Bashe, nadhani waliomzushia Rais uongo (kuwa anataka utani kwenye kilimo) wakamatwe.

Kama hawapo, Bashe atuambie utani wanaozungumzia ni upi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…