Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Mimi sio mtumishi wa serikali mapato yangu yananinufaisha mimi .

Huo ni mradi uliojengwa kupitia pesa za walipakodi.
Kwani BBT ni mradi wa Serikali au watu binafsi wanaowezeshwa na Serikali?
 
Sioni kama unaelewa nilichokuuliza nakuuliza tena unaelewa chochote kuhusu public scrutiny?
Si ukitaka kujua kama BBT inaendelea?

Nimekujibu Kwa vitendo kutoka miradi ya Kilimo Hadi Ufugaji samaki.

Kutoka Dodoma Hadi Tanga

Na Sasa BBT imehamia kwenye Madini.

So usinichoshe.
 
Back
Top Bottom