Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Si ukitaka kujua kama BBT inaendelea?

Nimekujibu Kwa vitendo kutoka miradi ya Kilimo Hadi Ufugaji samaki.

Kutoka Dodoma Hadi Tanga

Na Sasa BBT imehamia kwenye Madini.

So usinichoshe.
Hatuwezi kujadiliana na hakuna anayekuchosha hapa maana huelewi nilichokuuliza .
 
Kwa mara ya kwanza hapa Tanzania Kilimo chaongoza kuchangia GDP

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1891390754259456371?t=TtXhITWFk_q-Pq6--zLAmA&s=19
Screenshot_20250217-114131.jpg
 
Back
Top Bottom