Hatuwezi kujadiliana na hakuna anayekuchosha hapa maana huelewi nilichokuuliza .Si ukitaka kujua kama BBT inaendelea?
Nimekujibu Kwa vitendo kutoka miradi ya Kilimo Hadi Ufugaji samaki.
Kutoka Dodoma Hadi Tanga
Na Sasa BBT imehamia kwenye Madini.
So usinichoshe.