Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Kwahiyo unafikiri kwanini wameweka hiyo taarifa public?

Unafikiri huo ni mradi wa Bashe na mkewe?
BBT is a Biigest Scam in Tanzania History .. kuna matrekta ya BBT yanasomba kuni za kupikia komoni huku mtaani wakati Bashe ameshavuta 80% ya pesa ya mradi hiyo pesa inakwenda kutanua ushawishi wa Mastermind Rostam katika taifa hili ..
 
Huyu dogo huwa anaongea kwa msisitizo mkubwa aonekane bab kubwa hata kama kuna upepo wa ufisadi unapita ofisi
 
Mama Samia tunashukuru sana unavyoendelea kuiboresha kigoma Mungu akulipe kila heri Duniani na Akhera.
 
Back
Top Bottom