ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri kabisaIle BBT inaendeleaje?
Mlivuna tani ngapi?Vizuri kabisa
Kila wakivina wawe wanakwambia? 👇👇Mlivuna tani ngapi?
Kila wakivina wawe wanakwambia? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEXwvZFNMxT/?igsh=cDlyamNvNWt6NHVm
Mapato ni individuals issue ,kungekuwa hakuna Tija Vijana wasingekuwa wanajiunga Kila siku 👇👇Kwahiyo unafikiri kwanini wameweka hiyo taarifa public?
Unafikiri huo ni mradi wa Bashe na mkewe?
Mapato ni individuals issue ,kungekuwa hakuna Tija Vijana wasingekuwa wanajiunga Kila siku 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DDwLmaXN9yK/?igsh=MTdqNzV4am4yZGJvMg==
Wewe Mapato Yako unapelekaga wapi? 👇👇Hayo mapato yanapelekwa wapi kama individual?
Wewe Mapato Yako unapelekaga wapi? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DDBgbHAo-Ri/?igsh=eTRscjZoMzBicTdh
Kwani BBT ni mradi wa Serikali au watu binafsi wanaowezeshwa na Serikali?Mimi sio mtumishi wa serikali mapato yangu yananinufaisha mimi .
Huo ni mradi uliojengwa kupitia pesa za walipakodi.
Umejengwa kwa pesa za nani?Kwani BBT ni mradi wa Serikali au watu binafsi wanaowezeshwa na Serikali?
Vijana wanakopeshwa in terms of infrastructures then walianza Kuzalisha watarudisha mdogo mdogo.Umejengwa kwa pesa za nani?
Vijana wanakopeshwa in terms of infrastructures then walianza Kuzalisha watarudisha mdogo mdogo.
So wakwambie Mapato Yao Ili ufanye nini?
View: https://www.instagram.com/p/DA6YOBrIRVT/?igsh=ODlsZ2thZWprbXVn
Audit office kazi yake ni ipi? 👇👇Unaelewa kitu kinaitwa public scrutiny?
Audit office kazi yake ni ipi? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DAyhID9o1Md/?igsh=cDU0NHZzaWFpOThy
Si ukitaka kujua kama BBT inaendelea?Sioni kama unaelewa nilichokuuliza nakuuliza tena unaelewa chochote kuhusu public scrutiny?