Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Pesa hizo zinasomeka kwenye makaratasi, lkn kiuhalisia hazijafanya kazi ya kilimo. Zimepigwa zote
Zimepigwa kama zile za Corona walizojidai eti wamejengea madarasa. Wezi wakubwa Hawa hayawani.
 
Akizungumza Leo huko Kigoma, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia hafanyi Utani na Amedhamiria kumkomboa mkulima wa Tanzania Kupitia Kilimo Cha Umwagiliaji.

Waziri Bashe ameyaswma hayo wakati akimkabidhi mradi Mkandarasi anaejenga skimu ya Umwagiliaji ya Luiche yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 65.👇👇
Atuambie vyuo vya kilimo vina hali gani baada ya kuanza kuvifunga
 
Nikajua anakabidhiwa likiwa limeshakamilika. Si ajabu, Hadi Rais Samia anamaliza mhula wake wa uRais mwaka 2025 likawa halijakamilika.
Wewe nyumbu kweli,yaani likamilike ndio akabidhiwe Ili kitokee nini?

Kwa taarifa Yako tuu hiyo sio skimu ya kwanza ,ziko nyingine kibao zimekamilika.

Na on top of that Samia anajenga skimu Zenye hekta 500,000 kwa.mpigo wakati Toka uhuru Nchi Ina hekta 700,000 tuu za Umwagiliaji.

Ajenda 10/30 kazi inaendelea 👇👇

View: https://twitter.com/shambamedia/status/1813206847790145585?t=jT_wbvdXfhLgzjVw3A6XCw&s=19
 
Atuambie vyuo vya kilimo vina hali gani baada ya kuanza kuvifunga
Vyuo vipi vimefungwa? Unaelewa unachoongea au unaropoka tuu?

Kwanza Serikali imeviimarisha kwa.kuviongezea vitendea kazi na hela za Utafiti na inajenga Vyuo vipya mfano Mbozi.
 
Back
Top Bottom