Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

Bashe yupo vizuri ila ndio hivyo tu wizara yake inaendeshwa na wajanja Kuna uwezekano yeye mwenyewe hajui kinachoendelea yeye anapokea maagizo
 
Ujumbe kwa wananchi Uwe kwamba waongeze juhudi na kufanya mapinduzi katika kilimo, serikali chini ya Mama Samia ipo tayari na itaendelea kuwasaidia kama ilivyofanya leo.
Maendeleo ya kweli yatafanywa na wananchi wenyewe wakisaidiwa na serikali yao. Tusiwajenge wananchi kwa fikra za makinda ya ndege (kupokea tu).
Serikali kupitia wizara ya kilimo ipongezwe kwa ubunifu na utekelezaji wa mradi huu.
 
Back
Top Bottom