Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Wewe wa mjini utaelewa nini? Endelea kupiga domo kwenye vijiwe huku ukitegemea Mbowe akutafutie maisha ila huko shamba mambo Iko hivi ππPesa hizo zinasomeka kwenye makaratasi, lkn kiuhalisia hazijafanya kazi ya kilimo. Zimepigwa zote
Wewe simnufaika mwenzake. Muulize kwaniniKwa nini?
Zimepigwa kama zile za Corona walizojidai eti wamejengea madarasa. Wezi wakubwa Hawa hayawani.Pesa hizo zinasomeka kwenye makaratasi, lkn kiuhalisia hazijafanya kazi ya kilimo. Zimepigwa zote
Hawa hapa π-SIJAONA WAWEKEZAJI WA KILIMO KIKUBWA-
Mashamba ya hekari laki 2+
Watu wa mjini nyie ni wajinga kweli mnachoweza ni kusaga domo mlisubiria Chadema,kwani wewe unaona mna jipya gani?Ila hawa jamaa wanatuona sisi ni wajinga sana
Wewe ambae husjmhokiwi unajua maana ya mapinduzi ya Kilimo?Unaju maana ya mapinduzi ya kilimo? mnashikiwa sana akili
Nikajua anakabidhiwa likiwa limeshakamilika. Si ajabu, Hadi Rais Samia anamaliza mhula wake wa uRais mwaka 2025 likawa halijakamilika.Kama maneno husikii hata picha huoni?
View: https://www.instagram.com/p/C9r_TcmNOkA/?igsh=ZHcwejF6dWdvOHpt
Atuambie vyuo vya kilimo vina hali gani baada ya kuanza kuvifungaAkizungumza Leo huko Kigoma, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia hafanyi Utani na Amedhamiria kumkomboa mkulima wa Tanzania Kupitia Kilimo Cha Umwagiliaji.
Waziri Bashe ameyaswma hayo wakati akimkabidhi mradi Mkandarasi anaejenga skimu ya Umwagiliaji ya Luiche yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni 65.ππ
Wewe nyumbu kweli,yaani likamilike ndio akabidhiwe Ili kitokee nini?Nikajua anakabidhiwa likiwa limeshakamilika. Si ajabu, Hadi Rais Samia anamaliza mhula wake wa uRais mwaka 2025 likawa halijakamilika.
Vyuo vipi vimefungwa? Unaelewa unachoongea au unaropoka tuu?Atuambie vyuo vya kilimo vina hali gani baada ya kuanza kuvifunga
Jibu kwa busara ujibiwe kwa busaraUnaelewa unachoongea au unaropoka tuu?
Mashamba yote yaliyokufa yanafufuliwa.Pia asilisahau shamba la mpunga, kilimanjaro tuliloachiwa na wajapani tukaliuwa!
Mtu hajui kitu amekaa huko vijiweni au baa harafu anaropoka tuu ππππJibu kwa busara ujibiwe kwa busara
ni moja wapo ya sehemu ya mapinduzi ya kilimo tunaenda mdogomdogo tutafika tu.Hakuna Mapinduzi ya kilimo hizi ni hadaa na unless haujui mapinduzi ya kilimo
Huna hoja,na wewe unaweza Sofia kama inakuumaNasikia wasomali ni maridadi kwenye kusifia