ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Kazi inaendelea ππFisadi wa sukari huyo, mwizi mkubwa.
Kazi zinaongea ,wewe wa mjini endelea kukaa Bar Mbowe atakukomboa kwenye umaskini ππππShangaa, ndio sasa anakuja na swagwa za kuhadaa wajinga
How?Bashe yupo vizuri ila ndio hivyo tu wizara yake inaendeshwa na wajanja Kuna uwezekano yeye mwenyewe hajui kinachoendelea yeye anapokea maagizo
Binafsi naamini mashamba makubwa makubwa yakianzishwa yataweza kuondosha tatizo la ajiri nchini kwa 80%,ukizingatia mashamba huendana na viwanda vya processing!Mashamba yote yaliyokufa yanafufuliwa.
Wewe nyumbu kweli
Kazi zinaongea ππMsomali anapiga pesa balaa sisi tumelala
Kazi zipo sehemu gani?
Kazi zipo shambani.Mama Amedhamiria ππKazi zipo sehemu gani?
Assembly plant ya Mahindra tractors for Dodoma ππKazi zipo shambani.Mama Amedhamiria ππ
View: https://twitter.com/HusseinBashe/status/1818926100124168384?t=Rn7DwVDsR2lnFwprBAuW7A&s=19
Labda kazi ya kuibaKazi zipo shambani.Mama Amedhamiria ππ
View: https://twitter.com/HusseinBashe/status/1818926100124168384?t=Rn7DwVDsR2lnFwprBAuW7A&s=19
Hiyo hiyo utaikuta shambaniLabda kazi ya kuiba
Bashe ni mwizi snHiyo hiyo utaikuta shambani
π¨π¨π¨Bashe ni mwizi sn