ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #81
Kazi inaendelea ππHivi BBT imefikia wapi?? Hao vijana walipewa mashamba?? Wako kwenye mashamba??
Kuna kijana wa kijiji huko kwetu, ukimuuliza naye hatoi majibu...
Kuna ambaye analifahamu kwa uzuri hili la BBT??