Bashe: Serikali imeamua korosho yote itabanguliwa Mtwara 2025/26. Asema kuuza korosho ghafi ni biashara ya kizamani

Bashe: Serikali imeamua korosho yote itabanguliwa Mtwara 2025/26. Asema kuuza korosho ghafi ni biashara ya kizamani

Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.

Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema.

Pia Bashe amesema kwasasa duniani uzalishaji na kuuza korosho ghafi imekuwa ni biashara ya kzamani. Bashe amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia imeamua itakapofika mwaka 2025/26 korosho yote itabanguliwa Mtwara eneo la kijiji cha Maranje na Serikali imeanza kulipa fidia eneo la ukubwa wa ekari 1500 na linaanza kusafishwa mwezi wa 11 na ujenzi wa viwanda unaanza mara moja.

Bashe amesema bei itaimarika na soko litakuwa la uhakika kuliko kuwategemea wa-vietnam.
Tangu lini serikali imeweza kufanya biashara kwa ufasaha? Tuliishajenga viwanda vya kubangua korosho vingi tu na vikatushinda. Ikiwa tunakiri kuwa hatuna uwezo wa kuendesha bandari, biashara ya korosho tutaiwezaje?

Amandla...
 
Bashe ni miongoni mwa mawaziri wa ovyo kuwahi kutokea. Muda ni mwalimu mzuri subiri bomu la BbT lije kuripuka ni ufisadi mbaya sana. Ana theory za kilimo na maneno mengi ya kumuaminisha ssh bila kujali mkulima wa kawaida anayeilisha tanzania ni wa jembe la mkono aliyepo shambani .
 
Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.

Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema.

Pia Bashe amesema kwasasa duniani uzalishaji na kuuza korosho ghafi imekuwa ni biashara ya kzamani. Bashe amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia imeamua itakapofika mwaka 2025/26 korosho yote itabanguliwa Mtwara eneo la kijiji cha Maranje na Serikali imeanza kulipa fidia eneo la ukubwa wa ekari 1500 na linaanza kusafishwa mwezi wa 11 na ujenzi wa viwanda unaanza mara moja.

Bashe amesema bei itaimarika na soko litakuwa la uhakika kuliko kuwategemea wa-vietnam.
Kusini KUCHEEEEEELEEEEEEEE[emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Mama Kaja [emoji120][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji7]
 
Serikali sikivu ya CCM hiyo.....

Hakika mama kaingia.....

Hakika mama Kaja [emoji7][emoji2956][emoji7][emoji2956]
 
Mama anaivunja minyororo aliyoshindwa MWINYI ,MKAPA ,KIKWETE ,MAGUFULI [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
 
Hpana

[emoji1787][emoji1787]Ana akili gan msomali huyo
Angekuwa na akili asingekimbia kwao Somalia kwenye njaa
Angefanya miradi ya kilimo Somalia kutatua njaa iliyoko kwao Somalia[emoji1787]
Babu zako waliikimbia Msumbiji nawe tukulaumu ?!!! [emoji15][emoji1787]

Acha uchoookooor [emoji1787]
 
Bashe ni miongoni mwa mawaziri wa ovyo kuwahi kutokea. Muda ni mwalimu mzuri subiri bomu la BbT lije kuripuka ni ufisadi mbaya sana. Ana theory za kilimo na maneno mengi ya kumuaminisha ssh bila kujali mkulima wa kawaida anayeilisha tanzania ni wa jembe la mkono aliyepo shambani .
Uhovyo wake ni nini ?!!

Acha uchoookooor [emoji1787]
 
Mzee kwenye kuwajali wakulima hii serikali ya SSH tuwape maua yao mzee,
Pembejeo za ruzuku kajitahidi sana kutoa, bado kwenye bei kawapambania sana, kushikilia bomba la kuruhusu chakula kuuzwa nje ya nchi licha ya kelele zote ilikuwa ni kumlinda mkulima,

Tumseme kwenye bandari ila kilimo kapambania
Bashe ni miongoni mwa mawaziri wa ovyo kuwahi kutokea. Muda ni mwalimu mzuri subiri bomu la BbT lije kuripuka ni ufisadi mbaya sana. Ana theory za kilimo na maneno mengi ya kumuaminisha ssh bila kujali mkulima wa kawaida anayeilisha tanzania ni wa jembe la mkono aliyepo shambani .
 
Akili kubwa zinajadili mandeleo.
Akili za kawaida zinajadili matukio.
Akili mbovu zinajadili watu.

Badala ya kumjadili Bashe tujadili "idea" zake na zina mafanikio yepi au zimefeli wapi?
 
Nenda kwenye hoja ya bei ya korosho, kumu attack Bashe personally ni udhaifu na wivu. Na wale wenye mediocre minds ndiyo wanaokufa kwa wivu.

Wewe huna ubavu wa kuwashinda IQ hao washikaji wa Bashe

Wabongo cjui wakoje yaani habari positive wao wanaanza mshambulia mtu na tuhuma
Akati hoja ya msingi hata hawaijadil yaani cjui nani katuloga naonea uruma taifa lang
 
Acha ubaguzi ndugu.

Nashkuru leo umeona kero ya mtu kubaguliwa badala ya kuangalia hoja aliyotoa ambayo ni nzuri na yenye tija ila mijitu inaleta ubaguzi na kutoka nje ya mada
 
Yule jamaa alisema wanajeshi watumie mabomu kubangua korosho.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Akili kubwa zinajadili mandeleo.
Akili za kawaida zinajadili matukio.
Akili mbovu zinajadili watu.

Badala ya kumjadili Bashe tujadili "idea" zake na zina mafanikio yepi au zimefeli wapi?

Wabongo wanapenda kusikia habari za kuibiwa ili watoe matusi tuh habari nzuri kama hizi wao hawataki .ndio maana wanamshambulia mtu
Na hii habar haita trend wala kufunguliwa threads nying
 
Back
Top Bottom