Bashe: Serikali imeamua korosho yote itabanguliwa Mtwara 2025/26. Asema kuuza korosho ghafi ni biashara ya kizamani

Wizara yake amewajaza maswaiba wake hata wasio na sifa. Vibali hutolewa kama njugu kwa wasio na sifa alimradi wewe ni mshikaji. Bashe anaendelea kusimika mtandao hatari sana ndani ya chama na Serikali
Hivi huwa mnajisikiaje mnaposingizia watu, hamuogopi mungu nyie?
 
Hpana

[emoji1787][emoji1787]Ana akili gan msomali huyo
Angekuwa na akili asingekimbia kwao Somalia kwenye njaa
Angefanya miradi ya kilimo Somalia kutatua njaa iliyoko kwao Somalia[emoji1787]
You are good at shifting topics
Ulianza kusema that alimi,,,
Saiv unasema amekimbia somalia!!!!
Anyway tumuache afanye kaz yake

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Nashkuru leo umeona kero ya mtu kubaguliwa badala ya kuangalia hoja aliyotoa ambayo ni nzuri na yenye tija ila mijitu inaleta ubaguzi na kutoka nje ya mada
Jaribu kunifuatilia mimi ni muumini wa anti racism mkubwa humu jf.
 
Wabongo wanapenda kusikia habari za kuibiwa ili watoe matusi tuh habari nzuri kama hizi wao hawataki .ndio maana wanamshambulia mtu
Na hii habar haita trend wala kufunguliwa threads nying
Huo ndiyo ujinga. Watu wanajifanya wanajuwa kumbe hawajuwi.
 
Hpana

🤣🤣Ana akili gan msomali huyo
Angekuwa na akili asingekimbia kwao Somalia kwenye njaa
Angefanya miradi ya kilimo Somalia kutatua njaa iliyoko kwao Somalia🤣
Lugha hiyo si yo ya Mtanzania kabisa, wewe 100% ni kizazi cha wakimbizi au manamba wa kutokea nchi jirani.

Unaijuwa historia ya Mashariki ya Afrika wewe? Kwenu wapi?
 
Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.

Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema.

Pia Bashe amesema kwasasa duniani uzalishaji na kuuza korosho ghafi imekuwa ni biashara ya kzamani. Bashe amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia imeamua itakapofika mwaka 2025/26 korosho yote itabanguliwa Mtwara eneo la kijiji cha Maranje na Serikali imeanza kulipa fidia eneo la ukubwa wa ekari 1500 na linaanza kusafishwa mwezi wa 11 na ujenzi wa viwanda unaanza mara moja.

Bashe amesema bei itaimarika na soko litakuwa la uhakika kuliko kuwategemea wa-vietnam.

Porojo
 
Tuache Porojo yeye Mkulima anataka Bei nzuri iwe mnanunua Mbegu, Korosho Ghafi au hata picha ya Korosho..., mpeni Bei nzuri atanunua au muachieni atafute kwenye Bei nzuri...

Unaongelea kuuza finished product issue sio finished product tu, bali quality ya hio product unaweza ukadhani unaongeza value kumbe unapunguza quality hence na value kuporomoka....

Ifike wakati tuanze kuongea kwa vitendo na sio kila siku kuja na story zisizo na nje...
 
Hivi mafuta ya magamba ya korosho huwa yanatumika katika nini?
 
Vipi kuhusu korosho ya Manyoni (Singida), Katavi na Tabora ambako mliwahamasisha wakulima na wakulima kwa wingi?
 
Hpana

🤣🤣Ana akili gan msomali huyo
Angekuwa na akili asingekimbia kwao Somalia kwenye njaa
Angefanya miradi ya kilimo Somalia kutatua njaa iliyoko kwao Somalia🤣
Pole sana mkuu, una tatizo kuuuuubwa kweli kweli.
 
Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.

Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema.

Pia Bashe amesema kwasasa duniani uzalishaji na kuuza korosho ghafi imekuwa ni biashara ya kzamani. Bashe amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia imeamua itakapofika mwaka 2025/26 korosho yote itabanguliwa Mtwara eneo la kijiji cha Maranje na Serikali imeanza kulipa fidia eneo la ukubwa wa ekari 1500 na linaanza kusafishwa mwezi wa 11 na ujenzi wa viwanda unaanza mara moja.

Bashe amesema bei itaimarika na soko litakuwa la uhakika kuliko kuwategemea wa-vietnam.
Kwa strategies za utawala wa CCM sijui kama wakulima wa koroshow watatoboa!!
 
Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.

Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema.

Pia Bashe amesema kwasasa duniani uzalishaji na kuuza korosho ghafi imekuwa ni biashara ya kzamani. Bashe amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia imeamua itakapofika mwaka 2025/26 korosho yote itabanguliwa Mtwara eneo la kijiji cha Maranje na Serikali imeanza kulipa fidia eneo la ukubwa wa ekari 1500 na linaanza kusafishwa mwezi wa 11 na ujenzi wa viwanda unaanza mara moja.

Bashe amesema bei itaimarika na soko litakuwa la uhakika kuliko kuwategemea wa-vietnam.
Ni vizuri. Mtamsaidia mkulima, uchumi wa kusini.
 
Back
Top Bottom