Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hivi huwa mnajisikiaje mnaposingizia watu, hamuogopi mungu nyie?Wizara yake amewajaza maswaiba wake hata wasio na sifa. Vibali hutolewa kama njugu kwa wasio na sifa alimradi wewe ni mshikaji. Bashe anaendelea kusimika mtandao hatari sana ndani ya chama na Serikali
You are good at shifting topicsHpana
[emoji1787][emoji1787]Ana akili gan msomali huyo
Angekuwa na akili asingekimbia kwao Somalia kwenye njaa
Angefanya miradi ya kilimo Somalia kutatua njaa iliyoko kwao Somalia[emoji1787]
Jaribu kunifuatilia mimi ni muumini wa anti racism mkubwa humu jf.Nashkuru leo umeona kero ya mtu kubaguliwa badala ya kuangalia hoja aliyotoa ambayo ni nzuri na yenye tija ila mijitu inaleta ubaguzi na kutoka nje ya mada
Huo ndiyo ujinga. Watu wanajifanya wanajuwa kumbe hawajuwi.Wabongo wanapenda kusikia habari za kuibiwa ili watoe matusi tuh habari nzuri kama hizi wao hawataki .ndio maana wanamshambulia mtu
Na hii habar haita trend wala kufunguliwa threads nying
Hpana
š¤£š¤£Ana akili gan msomali huyo
Angekuwa na akili asingekimbia kwao Somalia kwenye njaa
Angefanya miradi ya kilimo Somalia kutatua njaa iliyoko kwao Somaliaš¤£
Lugha hiyo si yo ya Mtanzania kabisa, wewe 100% ni kizazi cha wakimbizi au manamba wa kutokea nchi jirani.Hpana
š¤£š¤£Ana akili gan msomali huyo
Angekuwa na akili asingekimbia kwao Somalia kwenye njaa
Angefanya miradi ya kilimo Somalia kutatua njaa iliyoko kwao Somaliaš¤£
Jaribu kunifuatilia mimi ni muumini wa anti racism mkubwa humu jf.
Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.
Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema.
Pia Bashe amesema kwasasa duniani uzalishaji na kuuza korosho ghafi imekuwa ni biashara ya kzamani. Bashe amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia imeamua itakapofika mwaka 2025/26 korosho yote itabanguliwa Mtwara eneo la kijiji cha Maranje na Serikali imeanza kulipa fidia eneo la ukubwa wa ekari 1500 na linaanza kusafishwa mwezi wa 11 na ujenzi wa viwanda unaanza mara moja.
Bashe amesema bei itaimarika na soko litakuwa la uhakika kuliko kuwategemea wa-vietnam.
Pole sana mkuu, una tatizo kuuuuubwa kweli kweli.Hpana
š¤£š¤£Ana akili gan msomali huyo
Angekuwa na akili asingekimbia kwao Somalia kwenye njaa
Angefanya miradi ya kilimo Somalia kutatua njaa iliyoko kwao Somaliaš¤£
Kwa strategies za utawala wa CCM sijui kama wakulima wa koroshow watatoboa!!Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.
Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema.
Pia Bashe amesema kwasasa duniani uzalishaji na kuuza korosho ghafi imekuwa ni biashara ya kzamani. Bashe amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia imeamua itakapofika mwaka 2025/26 korosho yote itabanguliwa Mtwara eneo la kijiji cha Maranje na Serikali imeanza kulipa fidia eneo la ukubwa wa ekari 1500 na linaanza kusafishwa mwezi wa 11 na ujenzi wa viwanda unaanza mara moja.
Bashe amesema bei itaimarika na soko litakuwa la uhakika kuliko kuwategemea wa-vietnam.
Ni vizuri. Mtamsaidia mkulima, uchumi wa kusini.Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu.