Hii ni police state na wapumbavu kama wewe ndio mnarudisha uhuru wa haki za binadamu nyuma, soma hii unaendesha private car from Nata to Kasane(Botswana)unakaribia Panamatenga kuna kambi kubwa ya jeshi la Botswana unapata break down, wanajeshi waliokua sentry wanakuja unajieleza na offcourse Jina la Nyerere ina drop in katika mazungumzo, wanakusaidia kulivuta gari hadi ndani ya camp, anafuatwa fundi anakuja kukutengenezea gari(elewa ni almost 23:00hrs usiku),unapewa coffee kutoa baridi, gari inapona ila wanaku advice kuwa usiku ni hatari kuendesha na kutoka hapo utakua unaingia kwenye national park,ila hawakuzuii kuendelea na safari unakubaliana nao na wanakupa kitanda na blankets, alfajiri 05:00unaamshwa na kupewa coffee na mnaagana kwa furaha tele, hii ona sounds French kwako!,ila imetokea hapa hapa Africa na hadi leo tumejenga urafiki mkubwa mno, sasa nyumbu wewe unanitishia na Lugalo Barracks!!,nimeshawahi kupigwa drill ya 90mins(oc lazima awe na taarifa)na nikatoka ngangari!,usitishe watu never never again