Bashe ulipitia JKT kweli?

Bashe ulipitia JKT kweli?

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
20220721_092056.jpg

Hapa Waziri kayakoroga!
Tuliopitia JKT ,tena kwa mwaka mzima, tunajua kuwa huwezi kuchanganya mavazi ya kijeshi na ya kiraia.
Hapo pichani gazeti ka Guardian leo page 2, waziri kavaa Olive Military uniform , halafu na kapelo ya mtaani.

Kwa hizi military uniforms inabidi JWTZ itoe mwongozo jinsi viongozi wanapozivaa wajue protokali na discipline zake.

Ningekuwa Generali ningemwambia Bashe awahi mwenyewe Quarter Guard.
 
Hivi hawa kilimo wana jeshi kama watu wa misitu

Mmh sidhani kama ni rasmi itakuwa kajishonea tu that why hakuna cha protocal
 
Mtoa hoja tafuta fedha mkuu achana na uroho mbaya na husuda, hilo vazi la waziri SIO military uniforms ya jeshi lolote hapa nchini, ni mavazi yanayofanana nayo, na after all nini athari yake?
 
Mkuu uniform yoyote yenye military significance siyo fashion.
Military uniforms zina protokali zake, na tazama vizuri Mh Bashe ana name tag kifuani- kama uniform za JWTZ.
Uniform za jeshi zina hsshima yake katika jamii, huvai tu kujifuarisha.
Suala la pesa, tayari ninazo.
 
Huu ni ufikiri tuliokua nao watanzania wengi, yaani tumemezeshwa sumu mbaya ya uoga na kujifanya very smart to question vitu very minor, hizi nguo ni nguo za kawaida na watu wanazivaa kawaida tu,military uniforms ziko tofauti na hizi camouflage clothes za kiraia, name tag hata mimi ninavaa nikiwa huku shambani lingusenguse
 
Kwahiyo na hii ni ishu hadi mtu analeta uzi wake humu? aisee tutafute pesa wandugu haya mengine hayatusaidii.
 
Huu ni ufikiri tuliokua nao watanzania wengi, yaani tumemezeshwa sumu mbaya ya uoga na kujifanya very smart to question vitu very minor, hizi nguo ni nguo za kawaida na watu wanazivaa kawaida tu,military uniforms ziko tofauti na hizi camouflage clothes za kiraia, name tag hata mimi ninavaa nikiwa huku shambani lingusenguse
Hayo ni mawazo yako .
Vaa hivyo na uende Lugalo kumwona mgonjwa wako.
Nina uhakika hutatoka!
 
Mafuta yanapanda tunajadili kofia na nguo rangi ya mabaka mabaka...
 
Huu ni ufikiri tuliokua nao watanzania wengi, yaani tumemezeshwa sumu mbaya ya uoga na kujifanya very smart to question vitu very minor, hizi nguo ni nguo za kawaida na watu wanazivaa kawaida tu,military uniforms ziko tofauti na hizi camouflage clothes za kiraia, name tag hata mimi ninavaa nikiwa huku shambani lingusenguse
Huku Dubai nguo jamii ya Combat zinauzwa tu madukani na watu wananunua wanavaa.
Ni uono mdogo tu wa Watanzania kupoteza muda kwenye minor issues zisizo na faida wala madhara yoyote kwa jamii.
Badala ya kupaza sauti kwenye tozo za ajabu zinazoumiza wananchi yote yeye anapaza sauti kwa nini fulani kavaa nguo hii.
 
Nunua container zima uje nazo huku, zitanunulika sana!
 
Huku Dubai nguo jamii ya Combat zinauzwa tu madukani na watu wananunua wanavaa.
Ni uono mdogo tu wa Watanzania kupoteza muda kwenye minor issues zisizo na faida wala madhara yoyote kwa jamii.
Badala ya kupaza sauti kwenye tozo za ajabu zinazoumiza wananchi yote yeye anapaza sauti kwa nini fulani kavaa nguo hii.
Nipe physical address yako hapo Dubai nikutumie Meerust Rubicon Red wine vintage ya 1995,mkuu umehitimisha vema welldone
 
Hayo ni mawazo yako .
Vaa hivyo na uende Lugalo kumwona mgonjwa wako.
Nina uhakika hutatoka!
Hii ni police state na wapumbavu kama wewe ndio mnarudisha uhuru wa haki za binadamu nyuma, soma hii unaendesha private car from Nata to Kasane(Botswana)unakaribia Panamatenga kuna kambi kubwa ya jeshi la Botswana unapata break down, wanajeshi waliokua sentry wanakuja unajieleza na offcourse Jina la Nyerere ina drop in katika mazungumzo, wanakusaidia kulivuta gari hadi ndani ya camp, anafuatwa fundi anakuja kukutengenezea gari(elewa ni almost 23:00hrs usiku),unapewa coffee kutoa baridi, gari inapona ila wanaku advice kuwa usiku ni hatari kuendesha na kutoka hapo utakua unaingia kwenye national park,ila hawakuzuii kuendelea na safari unakubaliana nao na wanakupa kitanda na blankets, alfajiri 05:00unaamshwa na kupewa coffee na mnaagana kwa furaha tele, hii ona sounds French kwako!,ila imetokea hapa hapa Africa na hadi leo tumejenga urafiki mkubwa mno, sasa nyumbu wewe unanitishia na Lugalo Barracks!!,nimeshawahi kupigwa drill ya 90mins(oc lazima awe na taarifa)na nikatoka ngangari!,usitishe watu never never again
 
Sasa mpumbavu nani?
Unaeleza masuala ya Botswana unakotumikishwa ilhali sisi ndio tumewakomboa.
Upumbavu mwingine hsujifichi.
 
Wewe umeikomboa Botswana wakati umeshindwa kujikomboa mwenyewe, TPDF wapo kulinda mipaka ya nchi sio kutesa raia kisa wamevaa comaflage clothes, mimi nipo Lingusenguse mkuu karibu
 
Nyie vipimbi vya juzi hamjui mtokako wala mnakoelekea.
Unakaribishwa n camouflage yako sehemu yoyote karibu na kambi na uupate mziki wa reggae!
 
Back
Top Bottom