Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mkuu uniform yoyote yenye military significance siyo fashion.Mtoa hoja tafuta fedha mkuu achana na uroho mbaya na husuda, hilo vazi la waziri SIO military uniforms ya jeshi lolote hapa nchini, ni mavazi yanayofanana nayo, na after all nini athari yake?
Huu ni ufikiri tuliokua nao watanzania wengi, yaani tumemezeshwa sumu mbaya ya uoga na kujifanya very smart to question vitu very minor, hizi nguo ni nguo za kawaida na watu wanazivaa kawaida tu,military uniforms ziko tofauti na hizi camouflage clothes za kiraia, name tag hata mimi ninavaa nikiwa huku shambani lingusenguseMkuu uniform yoyote yenye military significance siyo fashion.
Military uniforms zina protokali zake, na tazama vizuri Mh Bashe ana name tag kifuani- kama uniform za JWTZ.
Uniform za jeshi zina hsshima yake katika jamii, huvai tu kujifuarisha.
Suala la pesa, tayari ninazo.
Hayo ni mawazo yako .Huu ni ufikiri tuliokua nao watanzania wengi, yaani tumemezeshwa sumu mbaya ya uoga na kujifanya very smart to question vitu very minor, hizi nguo ni nguo za kawaida na watu wanazivaa kawaida tu,military uniforms ziko tofauti na hizi camouflage clothes za kiraia, name tag hata mimi ninavaa nikiwa huku shambani lingusenguse
Uzalendo wa nchi hii haukujengwa kwa kutafuta pesa, bali umakini na kujitolea.Kwahiyo na hii ni ishu hadi mtu analeta uzi wake humu? aisee tutafute pesa wandugu haya mengine hayatusaidii.
Huku Dubai nguo jamii ya Combat zinauzwa tu madukani na watu wananunua wanavaa.Huu ni ufikiri tuliokua nao watanzania wengi, yaani tumemezeshwa sumu mbaya ya uoga na kujifanya very smart to question vitu very minor, hizi nguo ni nguo za kawaida na watu wanazivaa kawaida tu,military uniforms ziko tofauti na hizi camouflage clothes za kiraia, name tag hata mimi ninavaa nikiwa huku shambani lingusenguse
Nunua container zima uje nazo huku, zitanunulika sana!Huku Dubai nguo jamii ya Combat zinauzwa tu madukani na watu wananunua wanavaa.
Ni uono mdogo tu wa Watanzania kupoteza muda kwenye minor issues zisizo na faida wala madhara yoyote kwa jamii.
Badala ya kupaza sauti kwenye tozo za ajabu zinazoumiza wananchi yote yeye anapaza sauti kwa nini fulani kavaa nguo hii.
Nipe physical address yako hapo Dubai nikutumie Meerust Rubicon Red wine vintage ya 1995,mkuu umehitimisha vema welldoneHuku Dubai nguo jamii ya Combat zinauzwa tu madukani na watu wananunua wanavaa.
Ni uono mdogo tu wa Watanzania kupoteza muda kwenye minor issues zisizo na faida wala madhara yoyote kwa jamii.
Badala ya kupaza sauti kwenye tozo za ajabu zinazoumiza wananchi yote yeye anapaza sauti kwa nini fulani kavaa nguo hii.
Kunguru mkubwa, tupigane na ajira za sensa!!Nunua container zima uje nazo huku, zitanunulika sana!
Hii ni police state na wapumbavu kama wewe ndio mnarudisha uhuru wa haki za binadamu nyuma, soma hii unaendesha private car from Nata to Kasane(Botswana)unakaribia Panamatenga kuna kambi kubwa ya jeshi la Botswana unapata break down, wanajeshi waliokua sentry wanakuja unajieleza na offcourse Jina la Nyerere ina drop in katika mazungumzo, wanakusaidia kulivuta gari hadi ndani ya camp, anafuatwa fundi anakuja kukutengenezea gari(elewa ni almost 23:00hrs usiku),unapewa coffee kutoa baridi, gari inapona ila wanaku advice kuwa usiku ni hatari kuendesha na kutoka hapo utakua unaingia kwenye national park,ila hawakuzuii kuendelea na safari unakubaliana nao na wanakupa kitanda na blankets, alfajiri 05:00unaamshwa na kupewa coffee na mnaagana kwa furaha tele, hii ona sounds French kwako!,ila imetokea hapa hapa Africa na hadi leo tumejenga urafiki mkubwa mno, sasa nyumbu wewe unanitishia na Lugalo Barracks!!,nimeshawahi kupigwa drill ya 90mins(oc lazima awe na taarifa)na nikatoka ngangari!,usitishe watu never never againHayo ni mawazo yako .
Vaa hivyo na uende Lugalo kumwona mgonjwa wako.
Nina uhakika hutatoka!
Sasa mpumbavu nani?Hii ni police state na wapumbavu kama wewe ndio mnarudisha uhuru wa haki za binadamu nyuma, soma hii unaendesha private car from Nata to Kasane(Botswana)unakaribia Panamatenga kuna kambi kubwa ya jeshi la Botswana unapata break down, wanajeshi waliokua sentry wanakuja unajieleza na offcourse Jina la Nyerere ina drop in katika mazungumzo, wanakusaidia kulivuta gari hadi ndani ya camp, anafuatwa fundi anakuja kukutengenezea gari(elewa ni almost 23:00hrs usiku),unapewa coffee kutoa baridi, gari inapona ila wanaku advice kuwa usiku ni hatari kuendesha na kutoka hapo utakua unaingia kwenye national park,ila hawakuzuii kuendelea na safari unakubaliana nao na wanakupa kitanda na blankets, alfajiri 05:00unaamshwa na kupewa coffee na mnaagana kwa furaha tele, hii ona sounds French kwako!,ila imetokea hapa hapa Africa na hadi leo tumejenga urafiki mkubwa mno, sasa nyumbu wewe unanitishia na Lugalo Barracks!!,nimeshawahi kupigwa drill ya 90mins(oc lazima awe na taarifa)na nikatoka ngangari!,usitishe watu never never again
Kunguru mama yako!Kunguru mkubwa, tupigane na ajira za sensa!!
Wewe umeikomboa Botswana wakati umeshindwa kujikomboa mwenyewe, TPDF wapo kulinda mipaka ya nchi sio kutesa raia kisa wamevaa comaflage clothes, mimi nipo Lingusenguse mkuu karibuSasa mpumbavu nani?
Unaeleza masuala ya Botswana unakotumikishwa ilhali sisi ndio tumewakomboa.
Upumbavu mwingine hsujifichi.
Nyie vipimbi vya juzi hamjui mtokako wala mnakoelekea.Wewe umeikomboa Botswana wakati umeshindwa kujikomboa mwenyewe, TPDF wapo kulinda mipaka ya nchi sio kutesa raia kisa wamevaa comaflage clothes, mimi nipo Lingusenguse mkuu karibu