Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha ya hovyo, upeo huna ilimradi uhalalishe ujinga wakoWe fala unadhani kila mtu ni makalio kama wewe? Kama una ziada ya tani laki tatu sasa huu mfumuko utokee wapi?
Nenda kalimeHujui lolote.
Na hapa ndio wengi mnachanganya wanaofanya biashara ya mazao siyo wakulima hata kidogo. Madalali na walanguzi ndio wanufaikaji wakubwa wa jasho la mkulima kuanzia korosho, mahindi, ufuta , alizeti n.k .wakulima wa nchi hii wataendelea kuwa masikini kama serikali haitangilia kati na kuacha kuwadanganya kwa mgongo huu wa kilimo biashara. Watanzania fanyeni utafiti kabla ya kuzungumza.Waache wakulina wafanye biashara
Wacha uvivu ingia shambani ukalime upunguze huo mfumuko wa bei za vyakula. Hakuna vya bure sasa.Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu?
Chukua jembe ukalimeWe popoma unashabikia upuuzi.
Mvua zinanyesha, ardhi Iko plenty, nenda ukalime acha udwanzi wewe bazaziSasa kama sasa hivi mnakusanya tani laki tano bei ingeshuka. Mngeuza nje na ndani chakula kikawa kingi
Anaweza kuchangia kiasi fulani. Kipindi kama hiki mipaka hufungwa ili kilichopo kihudumie wa ndaniVyakula kupanda ni sababu ya ukame, sio Bashe
Mwaka 2017 kilo ya unga ilifika 2200, unga ukawa ghali kuliko mchele
Mwaka huu kuanzia mwezi March/April mahindi na mchele mpya vinaingia sokoni na bei zitashuka
Hili halihitaji hata akili nyingi kujua, sema watu mnapenda siasa za hovyo tu
Kipindi hiki hakuna chakula kinachotoka nje, bali cha nje ndio kinaingia TanzaniaAnaweza kuchangia kiasi fulani. Kipindi kama hiki mipaka hufungwa ili kilichopo kihudumie wa ndani
Maybe unazungumzia hapo mjini kwa hapa Kakonko nilipo magari ya Rwanda, na Uganda hubeba nafaka asubuhi na jioni.Kipindi hiki hakuna chakula kinachotoka nje, bali cha nje ndio kinaingia Tanzania
Bashe ajishugulishe na kupigania mazingira mazuri ya Kilimo sio porojo tu , kiufupi Bashe hakuna achievement yoyote aliyopata kwenye wizara ya KilimoAcha uzushi, scheme nyingi za Umwagiliaji zilijengwa wakati wa Mwalimu na Watanzania wengi walisomeshwa kwa pesa ya Kilimo na Wakulima waliuza mazao yao kupitia vyama vya ushirika.
Kilimo kilianza kufa wakati wa Mwinyi,Mkapa na Kikwete walifanya maziko.Magufuli aliondoa matokeo kibao ya mazao ya Wakulima.Sasa Samia yeye kafanya kipi kwenye Kilimo cha kumsifia!!!
Nafaka gani sasa hivi zinatoka Kakonko kwenda Rwanda na Uganda? Maana mahindi ya Uganda ni bei rahisi kuliko ya Tanzania, na mihogo msimu wake badoMaybe unazungumzia hapo mjini kwa hapa Kakonko nilipo magari ya Rwanda, na Uganda hubeba nafaka asubuhi na jioni.
Watanzania sijuj nani alituroga,yaani mnaona ufahari kulimia jembe Karne hii kweli!Huyu ni mmoja kati ya vijana wenye akili sana hapa Tanzania.
Mkulima aheshimiwe, kama hauridhiki shika jembe ukalime
Wakulima ndiyo kundi kubwa la wawekezaji wazawa na ni sehemu kubwa ya population yetu, kama mapato yao yakiongezeka maana yake tumenyanyua GDP yetu na pato la wastani la kila mtanzania.
Hii, ina translate ukuaji wa uchumi na kuongezeka kwa purchasing power.
Ni wewe na kundi la wapumbavu wenzako mnaowaza kwa kutumia makalio na msiotakia taifa hili mema, mnadhani huyo dogo amefeli, yuko timamu.
Unawasaidiaje Wakulima wadogo bila kuimarisha ushirika?Na hapa ndio wengi mnachanganya wanaofanya biashara ya mazao siyo wakulima hata kidogo. Madalali na walanguzi ndio wanufaikaji wakubwa wa jasho la mkulima kuanzia korosho, mahindi, ufuta , alizeti n.k .wakulima wa nchi hii wataendelea kuwa masikini kama serikali haitangilia kati na kuacha kuwadanganya kwa mgongo huu wa kilimo biashara. Watanzania fanyeni utafiti kabla ya kuzungumza.