britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Wahuni kazini kubabake hatupigi kura walai, NRNENani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA.
View attachment 3420572View attachment 3420573
Britanicca
Si kwa sasa... WaTanganyika bado wana Imani nao kwa sababu ya baiskeli, vitenge, piki piki, tisheti na vitenge.Mafisadi yafilisiwe yauawe
Yaani ndege used kwa 6B... ccm haina aibu!
Si kwa sasa... WaTanganyika bado wana Imani nao kwa sababu ya baiskeli, vitenge, piki piki, tisheti na vitenge.
Mmh! 6B kabisa?? 6B si unanunua 4 kama hizo unaanzisha zako charter airline kampani unaanza kula dola za wazungu Polepole KimyakimyaYaani ndege used kwa 6B... ccm haina aibu!
WAHUNI WAKAFUTA NAMBA 8 Kwenye ndege na kuigeuza isomeke Kama "E" ili tusiweze kuitrack! Dah!Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA.
View attachment 3420572View attachment 3420573
Britanicca
Tatizo sio kununua.Aisee, nafikiri ni reg no tu inaweza kufanyiwa utaratibu wa kuibadirisha.
Dunia ya sasa kuna vitu sio issue kabisa, mfano kununua hizo ndege, ziko nyingi tu mitaani huku na huhitaji hizo 6B kununua hizo ndege.
6B unanunua mbili zenye capacity kubwa na kuzifanyia transformation ya kuweka tank kubwa na kuweza kutumika eneo kubwa.
Ndani ya mitaa ya Rostov - Russia.
Umeongea mambo ya msingi ndugu yanguMimi nakuambia Iko siku tu..kwani Burkina faso walijua watampata traore?
Kuna watu watakuja kunyongwa Tanzania hii we subiri kama sio wao watoto wao watalipia uhalifu wanaofanya wazaz wao kwa sasa...
Halafu huyo aliyelala hapo si ndo alikuja kumchumbia binti yangu? 🙆 Kumbe nilifanya uamuzi sahihi wa kumtimua kwa kumsakizia mbwa.