Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Omba breakdown Chiembe
Omba breakdown Chiembe
wakati zile zinazotengenezwa morogoro zinauzwa kwa 50m tena zikiwa brand new yaani cheap kuliko used toyota anakonda.Yaani ndege used kwa 6B... ccm haina aibu!
hakuna cha breakdown au hizi tulizonunua zina uwezo wa kubeba bomu la banker blaster? ila kama nikubebea viwatilifu hapana, isitoshe hiyo technology imeshapitwa na wakati sikuhizi zinatumika droneOmba breakdown Chiembe
Sio mara moja au mbili, mtu unanunua gari kwa mtu bila kufanya transfer ya kadi!.Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA.
Britanicca
Mtu na SERIKALI ni vitu viwili tofautiSio mara moja au mbili, mtu unanunua gari kwa mtu bila kufanya transfer ya kadi!.
Mwenye gari ni anayeliendesha na sio jina la mmiliki!.
P
I'd like to differ!, BBT is doing wonders!. Bashe ni mzalendo wa kweli wa taifa hili Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!BASHE NI MUHUNI
Britanicca
P hata kama ithibati imekaba tuweni wazi tu,najua hutamani kujutia kwa mara nyingine,kwani maisha ndiyo haya haya,mengine hatuyajui kwa sasa.I'd like to differ!, BBT is doing wonders!. Bashe ni mzalendo wa kweli wa taifa hili Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!
P
Sijui ni kuzeeka, uwezo wangu kuelewa umeshuka!, ithbati inaingiaje hapa?, kutamani kujutia nini?.P hata kama ithibati imekaba tuweni wazi tu,najua hutamani kujutia kwa mara nyingine,kwani maisha ndiyo haya haya,mengine hatuyajui kwa sasa.
Kuporwa press kadi,na kujutia matokeo ya maswali magumu kwa washikilia mpini.Sijui ni kuzeeka, uwezo wangu kuelewa umeshuka!, ithbati inaingiaje hapa?, kutamani kujutia nini?.
P
Yale yamepita sii ndwele, tuyaache tugange yajayo!, tumwacheKuporwa press kadi,na kujutia matokeo ya maswali magumu kwa washikilia mpini.
Naelewa polepole alipo Sema nchi kama haina mwenyewe hivi😁😁Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA.
View attachment 3420572View attachment 3420573
Britanicca
Duh; hawa mafisadi wa Bi Chura washamba sana wallah😂😂😂😂Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA.
View attachment 3420572View attachment 3420573
Britanicca
HatariDuhh! Msomali na mzanzibar hadi watanganyika mzae damu