Acha uzushi na sijui Kwa nini mnamzushia kila mara.WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Waziri MKuu Majaliwa ndiye aliwatangazia watanzania kwamba Waziri wa Kilimo anaumwa ndio maana ameshindwa kushiriki ziara yake, wa kulaumiwa ni aliyetangaza ambaye ndiye msimamizi wa MawaziriAcha uzushi na sijui Kwa nini mnamzushia kila mara.
Juzi tuu hapo alikuwa kwenye kikao na Tume ya Umwagiliaji
Weka videoWaziri MKuu Majaliwa ndiye aliwatangazia watanzania kwamba Waziri wa Kilimo anaumwa ndio maana ameshindwa kushiriki ziara yake, wa kulaumiwa ni aliyetangaza ambaye ndiye msimamizi wa Mawaziri
Weka video
Huko Kilimanjaro,naye Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo! Hajulikani anaumwa Nini na hajulikani alipo,miezi sita sasa!WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Wewe ni Muongo sanaaaa ,si juzi alionekana kwenye kikaoo cha sijui mambo ya ushirika na kilimoWAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Sikweli hata kidogo. Usukumani kungekuwa na tishio lolote mwamba Magu angetembea na wengi sana.usichezee uskumani
Aaah! Unamaana yule aliyesema Magufuli yuko ofisini anachapa kazi, mlitaka mmuone Kariakoo.Waziri MKuu Majaliwa ndiye aliwatangazia watanzania kwamba Waziri wa Kilimo anaumwa ndio maana ameshindwa kushiriki ziara yake, wa kulaumiwa ni aliyetangaza ambaye ndiye msimamizi wa Mawaziri
...ionee aibu nafsi yako kwa kujawa na upupu...Wapi fedha za sukali aludishe ndio afe