Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Utoto huo...Nzega Jimb...o liko wazi
Utoto huo...Nzega Jimb...o liko wazi
UpiUtoto huo...
View: https://www.instagram.com/p/DHpu74tqRs1/?igsh=cnRrZnU1eDdieWx2
Juzi hiyo au aliomba ruhusa mara moja halafu akarudi kuumwa?
... uzushi koko wa jimbo la Nzega...
Hapa nasali na Mwenyezi Mungu atutunzie na kuwahifadhi viongozi wetu hao aaaaamin aaaaamin aaaaamin!Rosta,JK, Rizi, Nap.e, Jr Makamb..a, Mkaza mwana wa Mama, Chura kiziwi,Doto, Tulia, hizi namba hizi!
Tusali sana mola afanye Yako, Tanzania ndipo itapona.
Hukumwelewa jamaa alichomaanisha neno Usi kumani!Sikweli hata kidogo. Usukumani kungekuwa na tishio lolote mwamba Magu angetembea na wengi sana.
Lakini wazee wa kazi walimuondoa softly kabisa.
Wasukuma ni wachovu tu kama wachovu wengine.
Waziri mkuu kutangaza Bashe ni mgonjwa haitoshi kuthibitisha madai ya sasa kuwa yuko hoi. Ungesemema umejihakikishia kwa kuona, au kuambiwa kwa uhakika.Waziri MKuu Majaliwa ndiye aliwatangazia watanzania kwamba Waziri wa Kilimo anaumwa ndio maana ameshindwa kushiriki ziara yake, wa kulaumiwa ni aliyetangaza ambaye ndiye msimamizi wa Mawaziri
Bashe ana nafuu na amesha rud toka Dubai alipokua anatibiwaWAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Yule inasemekana ana ngoma.Alitembea na Cathy Magige. Atumie tu vizuri ARV atapona.WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Nayeye si msukuma mwenzaousichezee uskumani
Hakuna msomari kawa msukumaNayeye si msukuma mwenzao
Kwani Mungu hawezi kumsikiliza yeye direct mpaka wamsemee wengine ndo Mungu asikieWAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.