Bashe yuko hoi watanzania waombwa tumuombee apone haraka

WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.

Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Uibe Mali za umma. Halafu uugue utupe kazi ya kukuombea. No reforms no Election
 
WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.

Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Yupo hospital bila shaka
 
Itakuwa na matatizo ya hela zilizopitiliza
 
Wanaccm hawaachiani Maji ya kunywa mezani- Kikwete
 
Pole sana kwake Mtihani wa ugonjwa ni Mgumu sana. Namuombe kheri na wagonjwa wote.
 
Bashe ametutesa sana watanzania sakata la sukari. Kutoa vibali mpaka kwa makampuni ya simu kuagiza sukari kwa maslahi ya watu wachache huku wavuja jasho wakinunua sukari kwa bei ya dhahabu ni laana na kama ikipendeza basi sawa.
 
Bashe akisoma maoni ya watu humu jukwaani lazima ajitafakari
 
WAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.

Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Fake news kabisa hii

Last Saturday alikua njema na alifanya meetings za kutosha in person
 
Bashe ametutesa sana watanzania sakata la sukari. Kutoa vibali mpaka kwa makampuni ya simu kuagiza sukari kwa maslahi ya watu wachache huku wavuja jasho wakinunua sukari kwa bei ya dhahabu ni laana na kama ikipendeza basi sawa.
Kwahiyo amepona au Bado anaumwa ?
 
Waziri MKuu Majaliwa ndiye aliwatangazia watanzania kwamba Waziri wa Kilimo anaumwa ndio maana ameshindwa kushiriki ziara yake, wa kulaumiwa ni aliyetangaza ambaye ndiye msimamizi wa Mawaziri
Ndo alisema yupo hoi?ukizeeka lazima utakuwa mchawi we jamaaa
 
Back
Top Bottom