Bashe yuko hoi watanzania waombwa tumuombee apone haraka

Bashe kachoka sana ,nilimuona live mwezi wa pili alipokuja Tanga ...Nilimuona town ,yuko simple na track yake ya kijivu na kofia nyeusi...Anaonekana mzee sana.
 
Rosta,JK, Rizi, Nap.e, Jr Makamb..a, Mkaza mwana wa Mama, Chura kiziwi,Doto, Tulia, hizi namba hizi!
Tusali sana mola afanye Yako, Tanzania ndipo itapona.
 
Rosta,JK, Rizi, Nap.e, Jr Makamb..a, Mkaza mwana wa Mama, Chura kiziwi,Doto, Tulia, hizi namba hizi!
Tusali sana mola afanye Yako, Tanzania ndipo itapona.
Hapa nasali na Mwenyezi Mungu atutunzie na kuwahifadhi viongozi wetu hao aaaaamin aaaaamin aaaaamin!
 
Sikweli hata kidogo. Usukumani kungekuwa na tishio lolote mwamba Magu angetembea na wengi sana.
Lakini wazee wa kazi walimuondoa softly kabisa.

Wasukuma ni wachovu tu kama wachovu wengine.
Hukumwelewa jamaa alichomaanisha neno Usi kumani!
 
Waziri MKuu Majaliwa ndiye aliwatangazia watanzania kwamba Waziri wa Kilimo anaumwa ndio maana ameshindwa kushiriki ziara yake, wa kulaumiwa ni aliyetangaza ambaye ndiye msimamizi wa Mawaziri
Waziri mkuu kutangaza Bashe ni mgonjwa haitoshi kuthibitisha madai ya sasa kuwa yuko hoi. Ungesemema umejihakikishia kwa kuona, au kuambiwa kwa uhakika.
 
Bashe ana nafuu na amesha rud toka Dubai alipokua anatibiwa
 
Yule inasemekana ana ngoma.Alitembea na Cathy Magige. Atumie tu vizuri ARV atapona.
 
Kwani Mungu hawezi kumsikiliza yeye direct mpaka wamsemee wengine ndo Mungu asikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…