Mnanguliti
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 941
- 2,759
Hapo ni mmoja tu wengine wote wanamtegemea yeyeRosta,JK, Rizi, Nap.e, Jr Makamb..a, Mkaza mwana wa Mama, Chura kiziwi,Doto, Tulia, hizi namba hizi!
Tusali sana mola afanye Yako, Tanzania ndipo itapona.
JKHapo ni mmoja tu wengine wote wanamtegemea yeye
Uibe Mali za umma. Halafu uugue utupe kazi ya kukuombea. No reforms no ElectionWAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
🤣🤣🤣Uibe Mali za umma. Halafu uugue utupe kazi ya kukuombea. No reforms no Election
Yupo hospital bila shakaWAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Itakuwa na matatizo ya hela zilizopitilizaWAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Wanaccm hawaachiani Maji ya kunywa mezani- KikweteWAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Fake news kabisa hiiWAZIRI wa KILIMO, Hussein Bashe anatajwa kuwa ni mgonjwa sana na haijulikani anaumwa nini tangu alipoonekana kwa mara ya mwisho kwenye ziara ya Rais Samia alipokuwa Tanga mwezi mmoja uliopita hadi sasa Bashe hajaonekana hadharani.
Taarifa zilizopo ni kuwa ni mgonjwa sana na haujulikani anaumwa nini hivyo watu wake wa karibu wanaomba wananchi na viongozi wa dini wamfanyie dua ili apate nafuu aweze kurejea kwenye majukumu yake ya kuboresha sekta ya kilimo nchini.
Kwahiyo amepona au Bado anaumwa ?Bashe ametutesa sana watanzania sakata la sukari. Kutoa vibali mpaka kwa makampuni ya simu kuagiza sukari kwa maslahi ya watu wachache huku wavuja jasho wakinunua sukari kwa bei ya dhahabu ni laana na kama ikipendeza basi sawa.
Ndo alisema yupo hoi?ukizeeka lazima utakuwa mchawi we jamaaaWaziri MKuu Majaliwa ndiye aliwatangazia watanzania kwamba Waziri wa Kilimo anaumwa ndio maana ameshindwa kushiriki ziara yake, wa kulaumiwa ni aliyetangaza ambaye ndiye msimamizi wa Mawaziri