Bashe yupo ukingoni, hakupaswa kupambana na wadau wa sukari

CCM huwa hatukurupuki wala kuwa na mihemuko wala kuanza kuropoka ropoka tu kama walevi wa gongo. CCM tunazungumza baada ya kufanya utafiti,uchunguzi wa kina pamoja na kubaini ukweli. na siyo kuzungumza jambo kwa mihemuko au kukurupuka ndio tuanze kufikiri kuanza kufanya uchunguzi .kaa kwa kutulia tu maana Mbele yetu yupo Jemedari Hodari,shupavu, Madhubuti na imara Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan
 
Li mwashambwa limeshajinywea chai na maharage kwa msaada wa CCM sasa limevimbiwa linakoroma tu kama vyura wa kwenye madimbwi ya msimu
 
Kununuliwa tu kidumu cha ngedule ndio uinywe mpaka ulewe na kusifia mambo ya hovyo hovyo
 
Luka mbwa washamba naona kumekucha tena🤣🤣🤣kamakawaida yako unaendelea kupiga domo nabandolako lajero🤣🤣
 
Huyo naye ni mla rushwa tu
 
Hifii hadi kumb Na anazitoa wap.? Any way hivii sukar guru ile nimekula sana utoton kwanin tusiiboreshe iwe kwenye mfumo wa biskuti
 
"Wenzetu" wanajadili AI sisi tunajadili sukari! Kweli!
Tungejadili kama tunaifahamu, AI ni kitu kipywa wengi hatukifahamu zaidi ya kuona CHATGPT. Hatuwezi kuijadili kwa sababu hatuifahamu, na hatuna uelewa juu ya hiyo AI. Kule jukwaa la TeCh labda kuna wajuvi wa hiyo ungepeleka huo mjadala kule.
Hapa ni Sukari, SPika, Bashe, na Mpina.
 
Na hakujua timing ya sisiemu kutaka hela za kuhonga uchaguzi mkuu.
 
Hivi sukari kwanini ipo wizara ya kilimo!

Ile si bidhaa already made, ingefaa iwe kwenye biashara....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…