residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hii ni kesi nyingine nitaifanyia kazi, tutaanzia TCRA, FAIR COMPETITION na kumalizia mahakamaniNimesahau ukimaliza hii hamia kwenye visumbushi vya Tv yani hawa ndio homa ya dengue kama sio malaria
Unapata unit ngapi za umeme, kwa 1000 hupati hata unit 5, bei ni ghali hivi sababu haina kikomo, siku na mitandao ya simu wakiwa forced kutoweka ukomo wa muda vifurushi vyote then itakuwa kama Tanesco na wao. Unalipa 1000 unapata mb 100 ama 50.Acha kututisha ili muendelee kutuibia,wewe mbona unanunuaga unit za umeme na hupangiwi muda wa kumalizika.
Wanakuzuia kuleta ufahari kwa hela ya mkopo!!Ila na wao iyo vocha uwezi kumpunguzia mtu
Vipi TTCL au kisiki cha mpingo?Naishitaki Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel. Kwa mujibu ya Sheria Namba 12/2003 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mashtaka ya aina hii natakiwa kuyaandikia makampuni hayo taarifa kuyataka yarekebishe ndani ya siku 30 ninacholalamikia yakishindwa naendelea mbele,ambapo nimeshayaandikia makampuni hayo.