Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

Bashir Yakub: Nitayashitaki makampuni manne ya simu

Mungu akubariki kwa hili wakili msomi Yakub.
Natamani sana kuona mawakili wasomi wengi zaidi wakijitokeza kupinga uonevu na wizi wanaofanyiwa Watanzania.
 
Usisahau kunipitia siku ya kesi mahakamani mimi nita kuwa shahidi yako tupo pamoja mdau [emoji849]
 
Acha kututisha ili muendelee kutuibia,wewe mbona unanunuaga unit za umeme na hupangiwi muda wa kumalizika.
Unapata unit ngapi za umeme, kwa 1000 hupati hata unit 5, bei ni ghali hivi sababu haina kikomo, siku na mitandao ya simu wakiwa forced kutoweka ukomo wa muda vifurushi vyote then itakuwa kama Tanesco na wao. Unalipa 1000 unapata mb 100 ama 50.
 
Inatakiwa kama msomi ifike mahali elimu yako ikusaidie na isaidie wanao kuzuka na yamii yote kwa ujumla ..See now mambo kama haya ndio vivid example tunataka tuone faidia ya kusoma na kujitambua...

Kila la heri mleta uzi

"Tujifunze kwa Maendeleo ya Watu"
 
Mkuu mimi nakuunga mkono!

Naomba nichangie nauli siku ya kwenda.
 
Naishitaki Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel. Kwa mujibu ya Sheria Namba 12/2003 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mashtaka ya aina hii natakiwa kuyaandikia makampuni hayo taarifa kuyataka yarekebishe ndani ya siku 30 ninacholalamikia yakishindwa naendelea mbele,ambapo nimeshayaandikia makampuni hayo.
Vipi TTCL au kisiki cha mpingo?
 
Ingekuwa ni ile serikali chakavu ya zamani, usingesikilizwa hata kidogo, hii awamu ya 5, TCRA watakutafuta kabla mkuu hajasoma humu, ili wasije wakatumbuliwa.
 
Back
Top Bottom